Mkutano wa Rais Magufuli jijini Mwanza

Mkutano wa Rais Magufuli jijini Mwanza

Ila Najiuliza Kitu:Mbona Mzee Mkapa Alikuwa Mkali na Watu Walimuogopa na Bado Umaarufu Wake Haukuteteleka Kwa Kiwango Hiki?Mkapa Uraisi Wake Ulianza na Majanga Mengi:MV Bukoba,Ajali ya Air Msae,Ajali ya Treni Dodoma na Ukapa wa Kifedha,ila Bado Kila Alipoutumbua Kila Mwisho wa Mwezi Tulitega Masikio na Macho Kumsikiliza na Kumtazama Runingani?Hivi Kuna Raisi Katili Kama Mkapa?What Happened To His Protegée Magufuli?Magufuli nini Kimempata?Mbona Watu Hawana Hamu Kama Miezi 6 Iliyopita!?

Kazi mnayo chaggaDema
 
Kama kawaida yao kusomba watu kwa malori na kuwasimamisha barabarani then wanasema kuwa wananchi wamezuia msafara....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nchi ya kusadikika ina maajabu nje ya sayari ya Tatu.
 
ukuta ni shida kaamua kupits kila njia anaamasisha watu kesho SAA sans furahisha aiiiiiiiii ni aibu tupu eti ccm wao wafanye mikutano upinzan ni marufuku bure kabisa wananchi wahakuitikia kiviile police wakafunga Barbara bure kabisa lowasa tunakusubiri haijarishi ni lini acha wanywa pombe wakalewe
 
1470855191882.jpg

Mpaka miaka kumi ipite kazi ipo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji276]
 
Huyu mtukufu baba jescar ni noma tangu jana usiku ni full matangazo mitaani ya kuhamasiha kwenda kumuona
 
Huyu mtukufu baba jescar ni noma tangu jana usiku ni full matangazo mitaani ya kuhamasiha kwenda kumuona
Napata wasiwasi nini kitazungumzwa kwenye huo mkutano,
Naona Tanzania mbili
 
Mkuu unamlinganisha mkapa na huyu mkapa alikuwa mjanja sana kwenye kutoa hotuba zake alikuwa akiubiri maendeleo sio kujipa sifa binafsi
Ingawa alikuwa fisadi lakini
Alitengeneza dira ya maendeleo nakumbuka hotuba yake moja mwaka 2002 kuusu suala la elimu alitoa Vision ya miaka 10 kwamba lengo lake ni kuona wanafunzi 100% wanasoma primary school, 50% wako sec, 25% wako high school na 12.5 % wanasoma vyuo kitu ambacho kilifanikiwa badae ndani ya uongozi wa kikwete

Kweli unatoa dira ya maendeleo lakin 30% ya hela ya miradi ya maendeleo zinaishia mifukoni mwa wajanja
 
..... kwenye mkutano kutakuwepo kitabu cha mahudhurio. mtumishi ambaye hataudhuria, atahesabiwa utovu wa nidhamu.
 
Back
Top Bottom