ilikuwa kipindi kile sio hiki.Ila Najiuliza Kitu:Mbona Mzee Mkapa Alikuwa Mkali na Watu Walimuogopa na Bado Umaarufu Wake Haukuteteleka Kwa Kiwango Hiki?Mkapa Uraisi Wake Ulianza na Majanga Mengi:MV Bukoba,Ajali ya Air Msae,Ajali ya Treni Dodoma na Ukapa wa Kifedha,ila Bado Kila Alipoutumbua Kila Mwisho wa Mwezi Tulitega Masikio na Macho Kumsikiliza na Kumtazama Runingani?Hivi Kuna Raisi Katili Kama Mkapa?What Happened To His Protegée Magufuli?Magufuli nini Kimempata?Mbona Watu Hawana Hamu Kama Miezi 6 Iliyopita!?
Na wanamuziki wa kutumbuiza ili kuvutia watu pia watakuwepo kesho japo sijajua kwa nini wafanye kuvutiwa?Wadau nipo Mwanza, lakini katika hali ambayo sikuitarajia kuna gari kubwa la matangazo linapita mitaani kuhamasisha watu waende furahisha kwenye mkutano wa mkulu, sasa najiuliza si huyu anatuaminisha kuwa tufanye kazi hakuna muda wa siasa,!!
Au tukiacha kazi zetu za uzalishaji tukaenda kumshangilia akuhutubia hatutakuwa tumekaidi amri yake??!! au amehisi watu wa Mwanza hawana time naye??!!...... najiuliza tu....!!!
Msemaji anakujaribu huyo StukaMada zingine ni mada za kilevi kabisa mie sijui msemaji anazungumzia nini
Imekaa kipashkuna.Hii post sijajua imekaaje!!! Nawaza tu kwa sauti kubwa.
kwani nyie mnatafuta vyeo humu jf?Nakuhakikishia toleo la pili la ukuu wa wilaya hukosi.....
Mkuu unamlinganisha mkapa na huyu mkapa alikuwa mjanja sana kwenye kutoa hotuba zake alikuwa akiubiri maendeleo sio kujipa sifa binafsiIla Najiuliza Kitu:Mbona Mzee Mkapa Alikuwa Mkali na Watu Walimuogopa na Bado Umaarufu Wake Haukuteteleka Kwa Kiwango Hiki?Mkapa Uraisi Wake Ulianza na Majanga Mengi:MV Bukoba,Ajali ya Air Msae,Ajali ya Treni Dodoma na Ukapa wa Kifedha,ila Bado Kila Alipoutumbua Kila Mwisho wa Mwezi Tulitega Masikio na Macho Kumsikiliza na Kumtazama Runingani?Hivi Kuna Raisi Katili Kama Mkapa?What Happened To His Protegée Magufuli?Magufuli nini Kimempata?Mbona Watu Hawana Hamu Kama Miezi 6 Iliyopita!?