Mkutano wa Rais Magufuli jijini Mwanza

Mkutano wa Rais Magufuli jijini Mwanza

lackg

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
641
Reaction score
268
Wadau nipo Mwanza, lakini katika hali ambayo sikuitarajia kuna gari kubwa la matangazo linapita mitaani kuhamasisha watu waende furahisha kwenye mkutano wa mkulu, sasa najiuliza si huyu anatuaminisha kuwa tufanye kazi hakuna muda wa siasa,!!

Au tukiacha kazi zetu za uzalishaji tukaenda kumshangilia akuhutubia hatutakuwa tumekaidi amri yake??!! au amehisi watu wa Mwanza hawana time naye??!!...... najiuliza tu....!!!

niko zangu hapa buzuruga jijini Mwanza, kwanza imepita gari ya CCM ikitangaza kesho Magufuli atakuwa na mkutano viwanja vya furahisha, baadae tena likapita gari kubwa linatangaza 'mkuu wa wilaya ya Nyamagana anatualika katika mkutano wa kesho viwanja vya furahisha, sahizi tena limepita gari la jiji likitangaza jambo hilohilo!

Sasa sijui baadae litapita gari la mamlaka gani! kwa kweli hii kitu imenishangaza make sijapata kuona huko nyuma.
 
wilaya ya nyamagana watu waliambiwa waache shughuli wakapokee mwenge.seuse St??ni mwendo wa kupima upepo tu
 
Hii post sijajua imekaaje!!! Nawaza tu kwa sauti kubwa.
 
Nimekuja mbio ili kusikiliza ametoa tamko gani kumbe ni taarifa ya mkutano, basi tunasubiri tamko la ieo
 
wilaya ya nyamagana watu waliambiwa waache shughuli wakapokee mwenge.seuse St??ni mwendo wa kupima upepo tu
St?Tufafanulie hapo
Je ni malaika?
Je ni mtakatifu?
Je asiye na dhambi?
Je asiyekosea?
Au tusaidie kugugo ulichomaanisha
 
Wadau nipo Mwanza, lakini katika hali ambayo sikuitarajia kuna gari kubwa la matangazo linapita mitaani kuhamasisha watu waende furahisha kwenye mkutano wa mkulu, sasa najiuliza si huyu anatuaminisha kuwa tufanye kazi hakuna mda wa siasa,!! au tukiacha kazi zetu za uzalishaji tukaenda kumshangilia akuhutubia hatutakuwa tumekaidi amri yake??!! au amehisi watu wa Mwanza hawana time naye??!!...... najiuliza tu....!!!


Nchi inakaribia kutaharuki na kupata hasira!
 
Mama aheshimiwe sorry wamechanganya avtar
Dikteta wetu yeye ni kutuhutubia tuu ,miezi tisa sasa kiwanda kimoja Kati ya lengo Lao ka 40% kuwa viwandani kiko wapi?
 
Bila kujali chama ila huwa napta shida kuelewa hivi ni nini hasa huwavutia watu kwenda kuwasikiliza wanasiasa?
 
Wadau nipo Mwanza, lakini katika hali ambayo sikuitarajia kuna gari kubwa la matangazo linapita mitaani kuhamasisha watu waende furahisha kwenye mkutano wa mkulu, sasa najiuliza si huyu anatuaminisha kuwa tufanye kazi hakuna muda wa siasa,!! au tukiacha kazi zetu za uzalishaji tukaenda kumshangilia akuhutubia hatutakuwa tumekaidi amri yake??!! au amehisi watu wa Mwanza hawana time naye??!!...... najiuliza tu....!!!
wanaenda kupeleka kero zao au wasubiri opereshen ukuta ndo wazipeleke
 
Wadau nipo Mwanza, lakini katika hali ambayo sikuitarajia kuna gari kubwa la matangazo linapita mitaani kuhamasisha watu waende furahisha kwenye mkutano wa mkulu, sasa najiuliza si huyu anatuaminisha kuwa tufanye kazi hakuna muda wa siasa,!! au tukiacha kazi zetu za uzalishaji tukaenda kumshangilia akuhutubia hatutakuwa tumekaidi amri yake??!! au amehisi watu wa Mwanza hawana time naye??!!...... najiuliza tu....!!!
Ukiona hivyo ni kama Mkulu ana agenda ya siri ya kutaka kuirejesha nchi kwenye mfumo wa Chama kimoja......

Kwa kuwa haiingii akilini kwa yeye kuvipiga marufuku kufanya shughuli zozote za kisiasa vyama vya upinzani hadi mwaka 2020, wakati yeye na chama chake cha CCM wanaendelea kuchanja mbunga, kila kukicha yeye na wanasiasa wenzie wa CCM wanafanya shughuli za siasa mbele kwa mbele......

Wakati Mkulu anazuia vyama vya siasa vya upinzani visifanye shughuli za kisiasa, anajua wazi kuwa anavunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 3 ambayo inaeleza kuwa nchi hii inaendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi.
 
Back
Top Bottom