Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Ila Najiuliza Kitu:Mbona Mzee Mkapa Alikuwa Mkali na Watu Walimuogopa na Bado Umaarufu Wake Haukuteteleka Kwa Kiwango Hiki?Mkapa Uraisi Wake Ulianza na Majanga Mengi:MV Bukoba,Ajali ya Air Msae,Ajali ya Treni Dodoma na Ukapa wa Kifedha,ila Bado Kila Alipoutumbua Kila Mwisho wa Mwezi Tulitega Masikio na Macho Kumsikiliza na Kumtazama Runingani?Hivi Kuna Raisi Katili Kama Mkapa?What Happened To His Protegée Magufuli?Magufuli nini Kimempata?Mbona Watu Hawana Hamu Kama Miezi 6 Iliyopita!?
Siku zote watu awana imani na mtukufu/mfalme.