Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Huu mwaka tutaona mengi. Baada ya NEC kushiriki Saba Saba na Nane Nane, litafuata lingine. Nataraji BIDHAA na MAZAO yanayozalishwa na NEC yataliingizia Taifa mapato kutokana na kodi...hapa kazi tu!Hahahahahah mkutano unapigiwa P.a
Sijuwi kaja na wasanii gani.