Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Wakuu kutakuwa na mkutano wa kuwapongeza wanaarumeru kwa uamuzi awo wa kuchagua Chadema na kukikataa CCM, kuchagua haki na kukata dhuluma, kuchagua Mungu na kukataa pesa chafu, kuchagua mabadiliko nakukataa mfumo kandamizi. Watakuwepo viongozi wakuu wa Chadema kitaifa kadhalika Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki.

Naomba kuwasilisha! Update baadaye.

Joshua Nassari apokelewa kwa vifijo na nderemo ni kwenye uwanja wa Leganga...
wana Arumeru wasema Jini CCM limewatoka
CCM wakimbia saa saba ya usiku kwenda Dar Es Salaam
Wanaarumeru wamtafuta Lusinde bila mafanikio
Picture 031.jpg
Picture 041.jpg
Picture 048.jpg
Picture 049.jpg
Picture 021.jpg
View attachment 50904
View attachment 50905
View attachment 50907
 
aliyesema kadi nimuhimu anaakili namuunga mkono.kuhusu mda ni saa 8;00.TAANI LEO NISIKU YAMAVUNO KADIKWASANA
 
Wakuu kutakuwa na mkutano wa kuwapongeza wanaarumeru kwa uamuzi awo wa kuchagua Chadema na kukikataa CCM, kuchagua haki na kukata dhuluma, kuchagua Mungu na kukataa pesa chafu, kuchagua mabadiliko nakukataa mfumo kandamizi. Watakuwepo viongozi wakuu wa Chadema kitaifa kadhalika Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki.

Naomba kuwasilisha! Update baadaye.

Tunawatakieni kila la kheri maana kazi mlioifanya ni kubwa. aluter continue.
 
Itakuwa saa saba mchana uwanja wa Leganga. Makamanda bado wanahangaika kuwatoa kituoni wote waliokamatwa usiku wa manane wakilinda kura.

Hili ndio lamuhimu sana kufanyika kwanza kabla ya sherehe
 
Urushwe Live, napendekeza madiwani pia walioshinda jana wawepo kama inawezekana.
 
Kudadekiiiiiiiii!!

Ktk nusu saa kuanzia sasa ntakuwa nimetia nanga hapo!

Huu msako natamani ingeendelea mpaka 2015 bila ya kupumzika!
Hakika mafisadi mwisho wao hauko mbali hata punje!!

Huu ni msako wa lango hadi lango!
 
mkuu tuko pamoja acha nile kabisa make leo ntaimba sana!
itakuwa hivi!
"chadema chadema! pipoz power!
mwigulu mwigulu tutaonana segerea!
nape nape tutaonana segerea kuchukua jimbo!
baada ya hapo tunapiga ukunga kwanza!"
dah leo raha mno! vijana wamepita na jeneza hapa makumira! wanasema wanaenda kuizika CCM!
 
Back
Top Bottom