Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NNSF) limeandaa mkutano wa siku tatu na wahariri wa vyombo vya habari mjini Tanga.
Lakini taarifa zilizopatikana hivi sasa, zinasema baadhi ya wahariri wakiwamo wahariri wa gazeti pendwa la MwanHALISI wamegoma kuhudhuria mkutano huo kwa sabab unasimamiwa na kampuni ya G&S Gideon Shoo na Salva Rweyemamu- kwa kile walichoita, wakurugenzi hao hawana hadhi ya kufundisha waandishi wa habari wala kusimamia maadili ya taaluma ya habari.
Wahariri waliogoma kuhudhuria mkutano huo, ni Saed Kubenea na Jabir Idrissa. Tayari barua yao ya kugoma kuhudhuria mkutano wameifikisha kwa Dk. Ramadhani Dau, mkurugenzi mkuu wa NSSF kwa mujibu wa habari za ndani ya NSSF wenyewe.