Mkutano wa NSSF na wahariri Tanga wachafuka

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NNSF) limeandaa mkutano wa siku tatu na wahariri wa vyombo vya habari mjini Tanga.

Lakini taarifa zilizopatikana hivi sasa, zinasema baadhi ya wahariri wakiwamo wahariri wa gazeti pendwa la MwanHALISI wamegoma kuhudhuria mkutano huo kwa sabab unasimamiwa na kampuni ya G&S – Gideon Shoo na Salva Rweyemamu- kwa kile walichoita, wakurugenzi hao hawana hadhi ya kufundisha waandishi wa habari wala kusimamia maadili ya taaluma ya habari.

Wahariri waliogoma kuhudhuria mkutano huo, ni Saed Kubenea na Jabir Idrissa. Tayari barua yao ya kugoma kuhudhuria mkutano wameifikisha kwa Dk. Ramadhani Dau, mkurugenzi mkuu wa NSSF kwa mujibu wa habari za ndani ya NSSF wenyewe.
 
Sababu za kibinafsi zaidi au kibiashara.
Inaelekea wamezidiwa kete mahala fulani.
Na tujiulize kama wao (Kubenea and Co) ni vigogo wa "usafi" nchini.
 
Sababu za kibinafsi zaidi au kibiashara.
Inaelekea wamezidiwa kete mahala fulani.
Na tujiulize kama wao (Kubenea and Co) ni vigogo wa "usafi" nchini.

kama wamezidiwa kete na mfanyakazi wa IKULU wewe uoni kama kuna tatizo?
wako sahihi kabisa
hapa IKULU inataka kuwa influence wahariri wa habari je kwa manufaa ya nani?
badala kutafuta njia za kumaliza matatizo ya wananchi wanajaribu kufunga mdogo wahariri wa magazeti
 
Sababu za kibinafsi zaidi au kibiashara.
Inaelekea wamezidiwa kete mahala fulani.
Na tujiulize kama wao (Kubenea and Co) ni vigogo wa "usafi" nchini.

Mwenye macho haambiwi tazama, hii ni kazi ya propaganda za chama fulani hivi ambacho katibu mwenezi wake ana budget ya kufanya online campaign.... ushindwe na ulegee!
 
NSSF wasifanye upuuzi wa PPF kuwahonga kila mkutano ili madudu yao yasiandikwe. Wawape ukweli wahariri, na pia wakihojiwa wawe wakweli.
 
Nchi hii imejaa Semina Elekezi ambazo hazina tija katika kufufua Uchumi wetu unaodorora kila kukicha.
 
Tunaungana na wanahabri hawa wawili mahiri kwa kugomea kusimamia na watu wasio waadilifu. Na hili liwe somo kwa wengine. Vijana hawa wamethamini taaluma kuliko pesa. NSSF ilitenga Sh. milioni moja kwa kila mhariri.Shoo ha hadhi hiyo....
 
NSSF wamepanga kutumia zaidi ya million600, kwa ajili ya semina hyo. Eti ya accodatn, trnsp and allows only for 3dayz. Hii nchi bana.
 
Hivi NSSF hawakuona watu wa maana kuandaa hiyo semina zaidi ya watu hawa wasio na maadili kabisa ya uandishi? chukulia huyo Dr Shoo -- tangu aondolewe habari corporation baada ya kampui kuuzwa, mbona hajaajiriwa na medi house yoyote ingine? Kwa sababu hana kabisa credibility, sifa yake kubwa ni puppetism -- kulamba viatu tu vya watu wengine. Elimu yake ni duni, na udaktari wake (phd0 ni ile ya Urusi ya zamani.
 
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NNSF) limeandaa mkutano wa siku tatu na wahariri wa vyombo vya habari mjini Tanga.

Lakini taarifa zilizopatikana hivi sasa, zinasema baadhi ya wahariri wakiwamo wahariri wa gazeti pendwa la MwanHALISI wamegoma kuhudhuria mkutano huo kwa sabab unasimamiwa na kampuni ya G&S – Gideon Shoo na Salva Rweyemamu- kwa kile walichoita, wakurugenzi hao hawana hadhi ya kufundisha waandishi wa habari wala kusimamia maadili ya taaluma ya habari.

Wahariri waliogoma kuhudhuria mkutano huo, ni Saed Kubenea na Jabir Idrissa. Tayari barua yao ya kugoma kuhudhuria mkutano wameifikisha kwa Dk. Ramadhani Dau, mkurugenzi mkuu wa NSSF kwa mujibu wa habari za ndani ya NSSF wenyewe.

Wangehudhuria tu na kuwafundisha hao waalimu somo, wakawaaibishe mbele ya kadamnasi! siyo kila kitu kugoma.
 
Ni ufisadi tu wa akina Dau kwa maelekezo ya kutoka Ikulu (kupitia Salva) katika kuifisdi michango ya wanachama wa NSSF. Mtakuta mamilioni mengi tu yamelipwa na NSSF kwa kampuni hiyo ya akina Salva!
 
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NNSF) limeandaa mkutano wa siku tatu na wahariri wa vyombo vya habari mjini Tanga.

Lakini taarifa zilizopatikana hivi sasa, zinasema baadhi ya wahariri wakiwamo wahariri wa gazeti pendwa la MwanHALISI wamegoma kuhudhuria mkutano huo kwa sabab unasimamiwa na kampuni ya G&S – Gideon Shoo na Salva Rweyemamu- kwa kile walichoita, wakurugenzi hao hawana hadhi ya kufundisha waandishi wa habari wala kusimamia maadili ya taaluma ya habari.

Wahariri waliogoma kuhudhuria mkutano huo, ni Saed Kubenea na Jabir Idrissa. Tayari barua yao ya kugoma kuhudhuria mkutano wameifikisha kwa Dk. Ramadhani Dau, mkurugenzi mkuu wa NSSF kwa mujibu wa habari za ndani ya NSSF wenyewe.

Hongereni waandishi wa Mwanahalisi! hakika ni jitihada tu za NSSF kuficha ufisadi wake mbele ya waandishi wa habari ambao bila sghaka watakuwa wamehongwa hela nyingi tu kama posho.

Hivi Dau anafahamu kwamba huyu Salva na Dr Shoo wameidhulumu sana michango ya wafanyakazi wa Habari Corporation miaka ile waliokuwa wakiiongoza? Michango ya wafanyakazi wengi sana ilikuwa haipelekwi, na Dau analifahamu hilo fika, lakini hakuchukuwa hatua ziozote!
 
NSSF nao ni wadau wa habari. Wanatoa semina elekezi.. Too much.
 
Nakubaliana kabisa na wakina Kubenea huu ni ushenzio wa Dau wa kutaka sifa na wahariri wetu hawa walioajiriwa na Al Adawi.

Hivi kwenye hizo seminar wa Arusha nini AMA ndio hizo hela za wastaafu zinazofanywa mradi wa mafisadi. Tunataka editors forum utoe statement wanafanyakazi nini huko kwa salva. Shoo na Salva hawana cha kuelekeza Ukizingatia Salva anadanganya mchana kweupe ati swaps la suti huku alikua wazi ni kweli.

Labda wanaenda kufundishwa spin doctoring ambayo hata hivyo Salva na Shoo hawawezi kujivunia ujuzi huo bora wangewachukua vijana wa Shigongo.

Bravo Kubenea huna muda wa kupoteza huko.
 
Hongereni waandishi wa Mwanahalisi! hakika ni jitihada tu za NSSF kuficha ufisadi wake mbele ya waandishi wa habari ambao bila sghaka watakuwa wamehongwa hela nyingi tu kama posho.

Hivi Dau anafahamu kwamba huyu Salva na Dr Shoo wameidhulumu sana michango ya wafanyakazi wa Habari Corporation miaka ile waliokuwa wakiiongoza? Michango ya wafanyakazi wengi sana ilikuwa haipelekwi, na Dau analifahamu hilo fika, lakini hakuchukuwa hatua ziozote!
Tatizo la kufikiria kwa kutumia masaburi kwenye red highlight.
 
Kubenea hajaongeza tu kwamba DR SHOO anashirikiana na Manji kuvinyamazisha vyombo vya habari ikiwamo Mwanahalisi na karibuni Shoo mwenyewe alikwenda pamoja na Manji mahakama ya Temeke akitaka Kubenea afungwe kwa kudanganya mahakama na kuna barua shoo ameandika. Hapa ndipo mgogoro unapozidi. Shoo na Kubenea waliwahi kutofautiana tokea Habari Corp. Jukwaa la Wahariri waangalia kama Shoo anafaa kushirikiana nae maana hizi ni Kesi ambazo Shoo ana mkono;
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-mwananchi-yafungwa-mdomo-kuhusu-manji-4.html
 
Huyo Kubenea ameanza lini kususia mikutano ya NSSF inayowahusu wahariri? Miaka yote kampuni ya akina Shoo, inayofanya media consultancy, kwa NSSF, ndiyo imekuwa ikishirikiana na shirika hilo la hifadhi ya jamii kuandaa mikutano ya aina hii kila mwaka, na Kubenea amekuwa akihudhuria na hata ku-demand nyongeza ya allowances zinazotolewa na NSSF. Kubenea aache unafiki!
 
Huyo Kubenea ameanza lini kususia mikutano ya NSSF inayowahusu wahariri?

Miaka yote kampuni ya akina Shoo, inayofanya media consultancy, kwa NSSF, ndiyo imekuwa ikishirikiana na shirika hilo la hifadhi ya jamii kuandaa mikutano ya aina hii kila mwaka, na Kubenea amekuwa akihudhuria na hata ku-demand nyongeza ya allowances zinazotolewa na NSSF.

Kubenea aache unafiki!
Ni kweli Kubenea alikua akihudhuria semina za NSSF lakini this time kuna mambo yameibuka na yakimhusu Shoo wa G&S na hata wahariri wa Mwananchi, Tanzania Daima na Dira walioko Tanga watashituka kujua kwamba Shoo anahusika na kushitakiwa kwao.
 
NSSF wana kitu cha kujifunza hapa.
Kama wanatenga 600 millions kwa semina ya wahariri, this is more than a joke.

To be non-allied ni jambo zuri kuliko kununuliwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom