Msisahau kwamba kuna sekretarieti mpya ya chama inasukwa, na ndugu Lukuvi ni mzoefu katika chama.Jana Mkurugenzi wa mawasiliano wa Ikulu Bw. Msigwa aliutaarifu umma kuwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi alikutana na Rais John Pombe Magufuli Ikulu Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo. Habari hii iliwafariji wananchi wengi kwa sababu wanaona kuna mshikamano mkubwa baina ya viongozi wastaafu na wa sasa! Na kwamba wanashauriana kuhusu mustakabali wa Taifa ili chombo kisije kwenda mrama!
Lakini wengi tulishangaa Msigwa kututaarifu kuwa Rais Magufuli pia alikutana na Bw. Lukuvi, waziri wa ardhi.
Maswali:
1. Je Mhe. Rais hana mazoea ya kukutana na mawaziri wake hadi Msigwa aone mkutano wa Magufuli na Lukuvi nayo ni habari ya kutuarifu?
2. Je utendaji wa mawaziri wetu uko vipi au ndiyo sababu kila waziri anatoa matamko kila kukicha?
3. Kama uhusiano baina ya Rais na mawaziri uko mbali kiasi hiki je uhusiano baina ya Rais na watendaji wengine wa serikali kama wakuu wa mikoa na wilaya uko vipi?
Mzee Mwinyi itakuwa kadhulumiwa ardhi yake si bure. Kaona huku chini wanamzungusha kagonga Ikulu.
Lukuvi kaitwa mbio mbio amalize tatizo.
Zingine zote ni porojo tu
Pamoja na kuwa ni muhimu kutoa habari jinsi ilivyo.Ni muhimu pia kujua Rais anaweza akitaka kuonana na Waziri wake wakati wowote INAPOBIDI na ukweli hiyo si habari ya ku disseminate/kugawa kama habari mhimu.Jana Mkurugenzi wa mawasiliano wa Ikulu Bw. Msigwa aliutaarifu umma kuwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi alikutana na Rais John Pombe Magufuli Ikulu Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo. Habari hii iliwafariji wananchi wengi kwa sababu wanaona kuna mshikamano mkubwa baina ya viongozi wastaafu na wa sasa! Na kwamba wanashauriana kuhusu mustakabali wa Taifa ili chombo kisije kwenda mrama!
Lakini wengi tulishangaa Msigwa kututaarifu kuwa Rais Magufuli pia alikutana na Bw. Lukuvi, waziri wa ardhi.
Maswali:
1. Je Mhe. Rais hana mazoea ya kukutana na mawaziri wake hadi Msigwa aone mkutano wa Magufuli na Lukuvi nayo ni habari ya kutuarifu?
2. Je utendaji wa mawaziri wetu uko vipi au ndiyo sababu kila waziri anatoa matamko kila kukicha?
3. Kama uhusiano baina ya Rais na mawaziri uko mbali kiasi hiki je uhusiano baina ya Rais na watendaji wengine wa serikali kama wakuu wa mikoa na wilaya uko vipi?
Kwa namna Msigwa alivyoitoa habari hii ni kama vile Lukuvi ni waziri wa nchi nyingine amekwenda ikulu ku- pay courtesy call!!Pamoja na kuwa ni muhimu kutoa habari jinsi ilivyo.Ni muhimu pia kujua Rais anaweza akitaka kuonana na Waziri wake wakati wowote INAPOBIDI na ukweli hiyo si habari ya ku disseminate/kugawa kama habari mhimu.
Pia Waziri yeyote ni LAZIMA aombe appointment kutoka ofisi ya Ikulu na kuambiwa ni siku ipi ana nafasi. UNLESS ni jambo la dharura!
La sivyo itakuwa si Ikulu tena bali ni kama nyumba ya Babu.
Waziri hawezi tu kwenda kama vile aenda nyumbani kwake. . Hiyo ndo protokali ilivyo.
Kwa Grson Msigwa ni vizuri upande mwingine
Kukumbuka "SPIRAL of SILENCE theory"
in Mass communication.
Itakusadia.
Otherwise so far so good!!