Mkutano wa kampeni CCM Arumeru wakosa watu jana

Acha utani , tujuze vizuri ina maana hata walimu wameshtuka !!R.I.P CCM,
Mapokezi+ya+Slaa+2.JPG
 
Upepo wa kisiasa unaelekea kukiendea kombo chama cha CCM kwani kwa taarifa nilizopata kwa mmoja wa washiriki kwamba mkutano uliofanyika jana kata ya Kikatiti ulikosa watu sana sana wanafunzi wa shule tu. Hali hiyo inasemekana kufanana na ilivyotokea kata ya Songoro alikotokea Nassari kwani walikosa watu kiasi cha kuahirisha mkutano.Hali hii ilisabisha makada wa CCM kukasirika na kuporomosha matusi.

Kama kuna mwenye taarifa zaidi atujuze.

2.jpg

SISI NI CCM DAMU: wanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Kikatiti wakishadadia CCM wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Kata ya Kikatiti
1.jpg

Msanii wa TOT anayekwenda kwa jina la Juakali, akihamasisha watu, baada ya mgombea wa CCM Arumeru Mashariki, Sioi Sumari na Mratibu kampeni za CCM Mwigulu Nchemba (kulia) kupanda jukwaani katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Kata ya Kikatiti A Town.
2.+Sioi+akisalimia+mtoto+Salehe+Khalfan+kwenye+mkutano+wa+Mikandini.jpg

Sioi akikasalimia katoto kwenye mkutano huo
1.+Sioi+akisalimia+wananchi+mkutano+wa+Mikandini.jpg

Mgombea ubunge wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiwasalimia wapigakura wake, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Mikandini jimboni humo. Kulia ni Mratibu wa kampeni za CCM jimboni humo, Mwigulu Nchemba.
5.+Kinamama+Mikandini+wakimshangilia+Sioi.jpg

NI CCM TU: Kina mama na kina baba wa kijiji cha Mikandini wakishangilia kwenye mkutano uliofanyika katika kijiji hicho.
 
417258_310566355674020_100001619734978_857598_1958970821_n.jpg

Mwigulu Nchemba
 
ccm mnawadhalilisha wapiga kura, nini maana ya kuwakalisha chini wapiga kura huku sioi akiibia kuinama kusalimiana nao? wana arumeru mashariki isomeni hiyo picha kwa makiiiini mpate kujua jinsi mnavyodharauliwa na ccm.
 
417258_310566355674020_100001619734978_857598_1958970821_n.jpg

Mwigulu Nchemba

Hii ni siku ile ya ufunguzi ambapo tulienda kumsikiliza Mh. Rais mstaafu Mkapa akaishia kututukana na kuelezea koo za watu. Kuanzia siku ile tumekoma kabisa kwenda kuwasikiliza hawa watu. Mbaya zaidi tumeikia eti siku ile alikuwa anatania, kumbe kampeni zao ni kuja kutuelezea utani badala ya kunadi sera ili tuzipime na kuchagua zipi zitatufaa kutukomboa. Nahisi uwelewa wa DEMOKARASIA kwa wenzetu ni mdogo sana, pamoja na kuwa CCM damu nilishabadilisha maamuzi tayari. Ni demokrasia tu
 
Ndivyo mnavyojidanganya kuwa ccm mambo yanawaendea kombo, hivi nyie mpo dunia ya wapi? dunia iliyo mbali na uhalisia wa mambo? subirini kipigo mtakachokipata sijui kama mtaongea nini tena!!! nilikuwa nabisha lakini kumbe ni kweli CHADOMO

safi sana mwenye GAMBA LA KOBE kulivua mpaka kifo.
 
Ukisoma sura za watu hawa utagundua kuwa wako makini wakichuja maneno na vitendo vya viongozi wa CDM, kama kuna jipya au ni yale yale ya kuisema CCM wanaacha kujisimamia wenyewe, Kiukwel hawa ni washabiki lakini si wapiga kura wa CDM pekee.
 
2.jpg

SISI NI CCM DAMU: wanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Kikatiti wakishadadia CCM wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Kata ya Kikatiti
1.jpg

Msanii wa TOT anayekwenda kwa jina la Juakali, akihamasisha watu, baada ya mgombea wa CCM Arumeru Mashariki, Sioi Sumari na Mratibu kampeni za CCM Mwigulu Nchemba (kulia) kupanda jukwaani katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Kata ya Kikatiti A Town.
2.+Sioi+akisalimia+mtoto+Salehe+Khalfan+kwenye+mkutano+wa+Mikandini.jpg

Sioi akikasalimia katoto kwenye mkutano huo
1.+Sioi+akisalimia+wananchi+mkutano+wa+Mikandini.jpg

Mgombea ubunge wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiwasalimia wapigakura wake, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Mikandini jimboni humo. Kulia ni Mratibu wa kampeni za CCM jimboni humo, Mwigulu Nchemba.
5.+Kinamama+Mikandini+wakimshangilia+Sioi.jpg

NI CCM TU: Kina mama na kina baba wa kijiji cha Mikandini wakishangilia kwenye mkutano uliofanyika katika kijiji hicho.

Hebu angalia utitiri wa watoto hapo mstari wa mbele harafu ukweli unakataliwa
 
Hii ni siku ile ya ufunguzi ambapo tulienda kumsikiliza Mh. Rais mstaafu Mkapa akaishia kututukana na kuelezea koo za watu. Kuanzia siku ile tumekoma kabisa kwenda kuwasikiliza hawa watu. Mbaya zaidi tumeikia eti siku ile alikuwa anatania, kumbe kampeni zao ni kuja kutuelezea utani badala ya kunadi sera ili tuzipime na kuchagua zipi zitatufaa kutukomboa. Nahisi uwelewa wa DEMOKARASIA kwa wenzetu ni mdogo sana, pamoja na kuwa CCM damu nilishabadilisha maamuzi tayari. Ni demokrasia tu

Hawa watu wamejazana kuangalia ZECOMEDY na Bongoflava Artist, ukweli ni tarehe 1 April.
 
Back
Top Bottom