Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,695
- 1,696
- Thread starter
- #61
Thats correct!
Wasipotekeleza ndio sababu ya kuwaambia wananchi wasiwachague tena.Utaratibu wa sasa usiokuwa na M& E ndio unafanya watu kudanganywa tu bila kuwa na point of reference. Mtu anakuja na khanga na t-shirt na ahadi mpya outrageous..anazingua watu na kujipatia kura kiulani.
Sawa nimekusoma. Sasa hili nalo ni vema likaingia katika katiba ili lisije likachakachuliwa kama la mgombea binafasi.
So mpaka sasa agenda ambayo wengi wameipendekeza ni ya "Kuunda Katiba Mpya"
Sawa.
Sasa tuendelee . . .
Ama mmechoka tumwambia binti Machozi atumbize kidogo bila kuchakachua caham chochote?