wanajivunia zito,huh?!!mratibu wa kanda kawauliza wananchi wanajivunia nini,wakasema zitto. Watu wako kimya wanasikiliza kwa makini
unawajuaje ni ccm mkuu?watu wamenyanyua mabango na dr slaa anayasoma. Kuna vijana wanaanzisha fujo. Wamefanya fujo alakini wengi ni vijana wa ccm
wengi ni vijana wa ccm
mkutano umesimama. Vijana wa ccm wamefanya vurugu.
Polisi nao wanaangalia show. Ni aibu kwa vyombo vya usalama.dco, ocd na mapolisi naona wamefika na wamewatoa vijana hawa.
tayari tunamsubili dr slaa kuhutubia mkutano wa adhala hapa uwanja wa shule ya msingi kiganamo. Kuna watu wa kutosha wanamsubili. Ameenda kijijini asubuhi kufanya mkutano. Licha ya mvua kubwa iliyonyesha na top hapa kuwa la kutisha. Watu wapo wengi wanamsubili
CCM ndio chama cha waha, wanyamwezi, wagogo, wandengereko, wamatumbi, wachaga, wahadzabe, watindiga, wapare, wasukuma n,a kila kabila hapa nchini. Vijana wa CDM wapo Moshi na Arusha tu, wengine wote ni vijana wa CCM.