DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Mkuu naamini utapata updates za kutosha JF Arusha nawakubali.....
Kwa kuwa DUDUZ kaonyesha dharau kwangu..ngoja nisitishe mchango wangu jf kwa leo..naishia hapa maana kuna wenye uwezo mkubwa.
Mkuu naamini utapata updates za kutosha JF Arusha nawakubali.....
Mkutano ni saa nane watu wameshanza kutia timu ama kweli watu wana usongo...
-Jamaa wa intelijensia vipi? Wameshaanza kuranda randa maeneo ya karibu, migari yao ya kuwasha, n.k.
.
nasikia James Millya ameachana na uamuzi wake wa kuhamia CDM na amekiomba radhi chama chake cha CCM. na hii ni baada ya Nanyaro kumwambia atakaa benchi kwa muda usiopungua miaka 5 bila hata cheo cha m/kiti wa kata CDM.
Makamanda mliopo Arusha kulikoni mbona kima katika hili tunata updates za uko nini kinaendelea mkutano si umeanza saa 4 hii? Tuwekeeni hapa kinachoendelea maeneo hayo.
Kwa kuwa DUDUZ kaonyesha dharau kwangu..ngoja nisitishe mchango wangu jf kwa leo..naishia hapa maana kuna wenye uwezo mkubwa.
Kila siku Arusha tu Makamanda jaribuni kujitanua kitaifa zaidi kuliko kikanda.
Lini tutasikia Chadema wameweka kambi maeneo mengine kama.
Kilwa.
liwale.
Ruangwa.
Nachingwea.
Newala.
Nanyumbu.
Tandahimba.
Ngara.
Karagwe.
Muleba.
Kyerwa.
Chadema kuna maeneo muhimu mnatakiwa kuweka kambi kama chama hivi kila siku Arusha mbaya zaidi mnadanganya leo mnasema kuna watu Milioni 1 wanachukuwa kadi za Chadema.
Chadema nendeni maeneo mengine kama.
Pangani.
lushoto.
Korogwe.
Muheza.
Kiindi.
Pangani.
Mkinga.
Kwa kuwa DUDUZ kaonyesha dharau kwangu..ngoja nisitishe mchango wangu jf kwa leo..naishia hapa maana kuna wenye uwezo mkubwa.
Kwa kuwa DUDUZ kaonyesha dharau kwangu..ngoja nisitishe mchango wangu jf kwa leo..naishia hapa maana kuna wenye uwezo mkubwa.
hivi watu wa arusha hawachoki tu?
Pamoja sana Makamanda lakini mbona kila siku Arusha tu Tanzania kubwa.