Hizi porojo ndio zinasababisha nisifike kwenye mikutano ya CHADEMA, sikuzoea kudanganywa!
Kufika kwako hata ungekuja na ccm yote haikisaidii chama chenu, hata hivyo unaruhusiwa kuja kusikiliza hotuba makini za ukombozi wa fikra
Haya matusi hayakusaidii sana sana unajidhalilisha mwenyewe
Huu uchaguzi ulifanyikia geto gani?
Haujashirikisha akili yako kwa hii post
Weka Picha ya uzinduzi wa kampeni.
Nenda kawadai ccm waweke picha za uzinduzi wa kampeni zao tuone. Kampeni za sombetini ccm mnaenda kufanyia kata ya Elerai kulikoni?
Tunashukuru Mungu sasa hivi Miwigulu kawa waziri, sijui mkitupa mabomu kwenye mikutano yenu mtamsingizia nani tena.
Kwenu hata Shetani ni Mungu, na mbinu zenu zinajulikana, watanzania hawadanganyiki tena
Yale yale, manajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.
Pole
Acheni Porojo, tunataka kujua, hiyo mikutano 400 imemkomboa vipi mtanzania maskini?
Watu wa kanda ya ziwa wameshajitambua, ccm wana hali mbaya sana...
Tume ya uchaguzi iko chini ya serikali ipi? inaongozwa na nani? wadanganyenyeni hao hao wajinga!
Bila kulazimishwa na chadema wasingeitisha uchaguzi, mandondocha huwa wanawaza kushindwa tu
Tukio la soweto Lema alikutwa kajificha kwenye banda la kitimoto pale mianzini, aache kudanganya raia. Akishavuta anaongeaga ujinga sana.
Matusi hayakusaidii
Ndondocha ndio akina nani? MINI KABANG anazidi kuwehuka?
Matusi hayakusaidii
Lema kapata uwanja wa kuporomoshea matusi yake!
Wewe na Lema nani anatukana?
Nani kamdanganya shida ya sombetini ni maji?
Wewe kipindi cha kampeni huwa unapangisha kwenye kata ya uchaguzi tunakujua... mara Kimandolu, sasa Sombetini
tedo siku ukijitambua utajilaumu sana.
Wewe ukijitambua utalaani aliyekuchelewesha kujitambua
Malizia kuvuta bangi ukalale, huwezi kuita serikali inayokupa kila sababu ya kuitwa mtanzania, NDODOCHA halafu tukakuona una akili timamu.
Serikali inaongozwa na mandondocha ndiyo maana kila kitu hovyo hovyo
MINI KABANG amenenepa? ile KITU MBAYA imempenda kweli!
Matusi yanakudhalilisha
Mimi ninaishi SOMBETINI, nani kakwambia kuna shida ya maji? Tatizo lenu mnachanganya USELA na SIASA.
Sombetini ya kwenye keyboard
Niwape Pole nyie, maana SOMBETINI hamuambulii chochote, na mmewekeza nguvu kubwa sana!
Pole wewe unayejua matokeo halisi lakini unajitia uwendawazimu
Huko ndio kubaya zaidi kwa MBOWE na Dr.Slaa wanaotegemea ruzuku ya vyama kuganga njaa zao.
Wewe hapa upo kazini, na kwa hizi post sidhani kama utaambulia hata buku 2
Tedi unashabikia ujinga kwa ajili huna upeo wa kuona mbele.
Upeo wa kuona mbele kwako wewe ni matusi? Jitambue
Umeshawaza watoto wako watakula nini jioni ya leo? au hauna majukumu, unaishi kwa mjomba?
Wewe humu ndiyo unawatafutia watoto wako chakula? Akili ndogo sana wewe
Mtu mwenye majukumu huwezi kuapata nafasi ya kukimbia kimbia kwenye maandamano yasiyo na kichwa wala mguu, eti tunampeleka mgombea kwake! ujinga sana!
Akili yako inawaza maandamano tu
LEMA amekupa raha ee! najua LEMA anakufurahisha sana.
Matusi ndiyo silaha za ccm majukwaani, siyo kosa lako
Mmekusanya wahuni tupu, hakuna mpiga kura hapo!
Hata chaguzi za kata nne mlisema hivyo hivyo.
------------------------------------------------------------------
Mkuu umejitahidi sana kuibeba ccm, hongera lakini pole kwa kutwanga maji