Muda sio mrefu watanywea soda kwenye sinia......Mjuni Lwambo magamba LUMUMBA NA MAGOGONI leo lazima wanywe koka!!!!!
Poweeeeerrrrrrr!!!!Chadema mziki mnene......hamuiwez kamwe.
Pipoooooooooooz!!!!!!!!!!
Ndi maana yake!!!!Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwa hiyo lumumba iamke na miamvuli siyo ?
Muda sio mrefu watanywea soda kwenye sinia.
Poweeeeerrrrrrr!!!!
Muda sio mrefu watanywea soda kwenye sinia.
.....magamba wamejifungia dodoma na lile jangili lisilotakiwa na wanainchi!!!!Mpaka raha 😛eace: dah nyomiii
...miss strong kuna gamba moja hapa Arusha vijijini limepata kiwewe!!!!Soda yenyewe sasa coke zero.......
Tuko strong mkuu, tunahakikisha magamba yanakaa kufikia 2015, Mbeya ni kama Arusha mkuu, magamba wamesalimu amri.......ha ha ha ha ha ha ha ha ................Mjuni sina mbavu!!!!
...MAKAMANDA WA ARUSHA WANAKUPA hi!!!!
Mpaka wata surrender .Soda yenyewe sasa coke zero.......
Tuko strong mkuu, tunahakikisha magamba yanakaa kufikia 2015, Mbeya ni kama Arusha mkuu, magamba wamesalimu amri.
Tuko strong mkuu, tunahakikisha magamba yanakaa kufikia 2015, Mbeya ni kama Arusha mkuu, magamba wamesalimu amri.
Nilijua tu majibu kama haya hayatakosekana.
What???
maccm mafisadi wanyanyasaji bye bye
![]()
![]()