Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,719
- 13,423
Chopa ya Kamanda wa anga ikwa mbali angani.
Chopa ya Kamanda wa anga ikwa mbali angani.
Anakusanya maoni ili ayapeleke wapi?
Baadhi ya makamanda wa kikosi cha red brigade wakijaribu kuzuia umati mkubwa wa watu waliokuwa wakikimbia kumlaki kamanda wa anga baada ya chopa kutua.
Baadhi ya makamanda wa kikosi cha red brigade wakijaribu kuzuia umati mkubwa wa watu waliokuwa wakikimbia kumlaki kamanda wa anga baada ya chopa kutua.
.....hapa lumumba na magogoni ..."wanatapika".....[/QUOTEMpaka wakae.
Mkuu, mpaka wakae......magagagagamba wafyata mkia lindi na mtwara!!!!!
Nasema hiviii, mpaka wakae!!...magogoni UPO?
Mkuu, mpaka wakae.
kwenye tume ya katiba mwisho tar. 31.8 mwaka huu