Mkutano wa CCM mkoani Iringa 'wafana'

Mkutano wa CCM mkoani Iringa 'wafana'

Katibu Mkuu na TRENI Kigomaa... Nape Nnauye alikuwa na Makamu wa Mwenyekiti Mwanza na Kagera huko kulikuwa sio kuzuri Nape Nnauye kamkimbia -- yuko na Katibu Mkuu ndani ya TRENI ya KIGOMA... LOL...

Lukosi usijidanganye. Madawa ya kulevya ni biashara mbaya sana. Na kama unadhania utapata pesha kwa kutoza kwenye MOT ni ujinga. Kwa nini nije kwenye kampuni uchwara wakati najua gerages kibao zinatoa MOTs za uhakika na gari lako linakuwa salama kuliko nyinyi mnaoendekeza njaa. Be careful my brother soon utaingia kwenye matatizo ambayo utajuta kuzaliwa ama kuja ulaya. Kila nyendo yako inafuatiliwa kwa karibu sana. Usishangae unapewa 24hrs za kuondoka. Pole mjinga wewe
 
Ni wahuni wachache walienda kufanya vurugu, mie binafsi naingia iringa kuanzia June....

Umezoea ama kutuma ama magendo njoo ungana na mzee wa maji ya Ndanda baada ya wiki utakimbia .Pata data vyema maana wewe si hujui kwamba Tanzania haina maendeleo ? Fika weka ------ chini ujionee ndugu zako wanavyo shinda njaa kisa CCM imeshika utamu.
 
Lunyungu mie siji Kushangaa, nakuja kufanya kazi
 
Lukosi usijidanganye. Madawa ya kulevya ni biashara mbaya sana. Na kama unadhania utapata pesha kwa kutoza kwenye MOT ni ujinga. Kwa nini nije kwenye kampuni uchwara wakati najua gerages kibao zinatoa MOTs za uhakika na gari lako linakuwa salama kuliko nyinyi mnaoendekeza njaa. Be careful my brother soon utaingia kwenye matatizo ambayo utajuta kuzaliwa ama kuja ulaya. Kila nyendo yako inafuatiliwa kwa karibu sana. Usishangae unapewa 24hrs za kuondoka. Pole mjinga wewe

Sijakuelewa Unamaana Gani... Unasema Umekula Madawa ya lukosi? na kupata presha kwa kuzoa kwenye MOT? SIKUELEWI KABISA... tafadhali jaribu kueleza kwa ufanisi kidogo...
 
Ndio tabu yenu, hamuwezi kuongea bila kutukana ,
Kumbe kweli wewe ni kubwa jiinga! Kuongea bila kutukana ndio nini! Ama kutukana si kuongea ni kuimba? Maabox yanakumaliza akili bro!
 
Ccm wangeacha siasa za kitoto za kutafuta sifa za kijinga za kununua watu wahudhurie mikutano yake. ccm ni mahututi sasa kila mahala ni vurugu nchi imekosa mwelekeo. why? wasiende kusini wakamalizane na wananchi na Gesi yao! Kigoma , wanza na Iringa kunani ona sasa AIBU HII
 
Hivi ni lazima wafike mwaka 2015 hatuwezi kuamua mwaka huu ukawa wa mwisho kututawala maana tumechoka kutawaliwa tunataka kuongozwa....

That's the point. Na huu moto wa gesi utakwenda na wengi! CCM imezidi kutetea wezi. Kwa alichofanya Mangula juzi Bukoba kinaleta tafsiri moja,ama uendelee kubaki ccm ukubali wizi au utoke! Hili lichama hili, haliwezi kuongoza
 
Vasco Gama yupo safarini.....hana utamaduni wa kushuhulikia matatizo bali ni bingwa wa kukimbia matatizo pengine kuliko kiongozi yoyote yule duniani
 
Watu wameichoka Ccm kusema kweli, ni suala la muda kidogo Historia mpya itaandikwa nchi hii
 
photo.php
 
I cant wait to see CHADEMA dying in 2015...chama hakina hata jengo la makao makuu (Juliana Shonza, V/Chair Bavicha)
 
Mkuu huju mdau ameleta habari kwa kirefu na pia amefanya analysis nzuri sana. Ishu ya "kutangaza blog" haipo hapo, just picha ndo zimetoka na hilo jina, je ulitaka a-edit? Hacha kutumia samaburi kufikiri...
analysis nzuri gani sasa hiyo na wewe, huyu amepiga picha na kuzileta hapa tumpigie makofi kwa vile anatangaza kuanguka kwa status quo, asichokijua ni kwamba chadema haitovuka 2015 ikiwa salama, wakijitahidi sana watabaki na majimbo matano, nothing more! wabunge wao wanakesha wakizunguuka kwenye mradi wa M4c kwa vile kuna posho hawakai majimboni mwao, wapiga kura wanajuta kuwachagua hawa mavasco dagama, wanasema bora maccm yetu yanakaaga na sisi yakisikiliza na kutatua shida zetu kuliko hawa wanaharakati
 
Back
Top Bottom