I cant wait to see CHADEMA dying in 2015...chama hakina hata jengo la makao makuu (Juliana Shonza, V/Chair Bavicha)
Wewe kweli ni makalio, kwani hao walioko Iringa hawafanyi kazi?Mie siendi kuomba kura Bali naenda kufanya kazi
Makamu mwenyekiti wa CCM taifa Philp Mangula amekuwa na wakati mugum sana mkoani Iringa katika kuwahutubia wale alioamini kuwa ni wanchama wa CCM katka viwanja vya Mwembetogwa mkoan hapa. Kiongoz huyo wa CCM (chichidodo) amejikuta akiwa na wakati mugmu sana pale aliposhindwa kutoa hoja za kimsingi zenye kutoa majibu ya kero za wananchi mkoan hapa.
Kiongoz huyo alisisitiza vikao vya ndan vya chama na kuzid kuwachosha wanairinga waliosombwa kutoka isman, kalenga ,kilolo, pawaga, dabaga na sehem zingnezo.
Katka kile kilichoonekana kuwachosha wananchi hao na wananchi kutokuwa na imani na Mangula na CCM yake. Aslimia kubwa ya watu waliohudhulia mkutano huo walionyesha alama ya vidole viwili wakionyesha imani yao kwa CHADEMA.
Mungu wangu chichidodo huyo alimanusula atoa mchoz jukwaan pale alipoona umati mkubwa ukimzomea kinyume cha mamtarajio yake , kwan hata wale waliovaa sare za kijan walioonyesha kumzomea zaidi.AMA KWELI KIFO CHA CCM IRINGA KIMEFIKA.
2010, Sheihk Yahaya Hussein, Atakaye mpinga Kikwete atakufa, akafa yeye!
2010, Makamba "CHADEMA'' haiwezi kushinda urais au viti vya ubunge wakijitahidi sana watashindi kiti kimoja" Matokeo yake sote tuliyaona,
Sasa, Mwigulu Nchemba, Nape, Wassira na viongozi wengine wa CCM utabiri wao ni kwamba CHADEMA itakufa mwaka 2015, lakini nikionacho leo CCM ndo inawakati mgumu hata kuliko 2010!
KWELI CCM NAMBARI MOJA hasa kwa vioja na Ufisadi nani kama CCM, siku hizi hata nyimbo za John Komba sizisikii hadi uchaguzi tofauti na zamani, utasikia Peoplez.....................................................power!
Itisha Uchaguzi ndio utajua kama CCM iko hai au imekufa! Kumbukumbu zinaonesha kuwa mara ya Mwisho kumefanyika Uchaguzi wa kata 29,CCM ikachukua kata 22 na vyama vingine vikaambulia kugawana viti 7!
Jana tarehe 26.01.2013 CCM walikuwa na mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa Iringa Mjini na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Bw. Philip Mangula alikuwa mgeni rasmi.Mkutano ulienda vizuri lakini mara baada ya mkutano kumalizika, zomeazomea ilianza. Ilikuwa ni aibu na fedheha kubwa pale ambapo kila gari la viongozi (akiwemo Mangula) na wajumbe lilipokuwa likiondoka toka uwanjani, wananchi wanaoaminika kuwa si wafuasi wa CCM walikuwa wakizomea kwa makelele kiasi cha kusababisha polisi kutaka kuingilia kati. Uzuri ni kwamba zomeazomea hiyo ilikuwa ikifanyika pasipo vurugu ya kurusha mawe ama kushikana mashati. Kuna wakati hata polisi nao walikuwa wakichekelea pindi gari iliyobeba viongozi ama wajumbe wa CCM na kisha kuzomewa!!!Wana JF nimeona ni vema niwajuze.
Mbona jana walikuja na tambo zao humu jf?Inakuwaje tena wanazomewa kama wao ni makini?
Lunyungu mie siji Kushangaa, nakuja kufanya kazi
Ni wahuni wachache walienda kufanya vurugu, mie binafsi naingia iringa kuanzia June....
Nguvu ya mamba ipo ndani ya maji, nchi kavu mamba hana ujanja. Hata SISIEM wanalifahamu hilo ndo maana hawataki tume huru ya uchaguzi(hayo ndo maji kwa SISIEM) kwa jinsi wanavoendelea kukataliwa kila mahali, ni miujiza tu itaendelea kuwaweka madarakani kama kukiwa na tume huru ya uchaguzi.Hata baada ya 2015 CCM itaendelea kutawala!