Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jan 27, 2013 #101 secretariet imegundua style mpya. moto ukiwaka kusini kimbilia magharibi,ukiwa ka kaskazini rudi kati.
secretariet imegundua style mpya. moto ukiwaka kusini kimbilia magharibi,ukiwa ka kaskazini rudi kati.
B blueray JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 2,217 Reaction score 426 Jan 27, 2013 #102 Captain wa yanga ndie mwamuzi wa mchezo wa mpira Kati ya yanga na simba unategemea nini? Subiri nguvu ya umma kama tume ya uchaguzi haitarekebishwa
Captain wa yanga ndie mwamuzi wa mchezo wa mpira Kati ya yanga na simba unategemea nini? Subiri nguvu ya umma kama tume ya uchaguzi haitarekebishwa