Hahahahahahaha, Like a father like a child!!! Hawa jamaa wanambwelambwela sana, wazee wa kusafirisha Tembo na Twiga wazima wazima. Nimefurahi sana na hii taarifa. Nataka kuwasikia na wahamiaji wa NCCR Mageuzi wakibwabwaja baada ya kuwasikia hawa jamaa ndo wataamini wazee wa Mihardboard na Ford aka M4C wanatisha na Jamaa yao ambaye wanakomalia kuwa ni mzinzi na huku wao wanachukua wake za watu kabisa wengine mpaka wanakatwa masikio. Hahahahahahaha wako wapi CCJ
Makamu mwenyekiti wa CCM taifa Philp Mangula amekuwa na wakati mugum sana mkoani Iringa katika kuwahutubia wale alioamini kuwa ni wanchama wa CCM katka viwanja vya Mwembetogwa mkoan hapa. Kiongoz huyo wa CCM (chichidodo) amejikuta akiwa na wakati mugmu sana pale aliposhindwa kutoa hoja za kimsingi zenye kutoa majibu ya kero za wananchi mkoan hapa.
Kiongoz huyo alisisitiza vikao vya ndan vya chama na kuzid kuwachosha wanairinga waliosombwa kutoka isman, kalenga ,kilolo, pawaga, dabaga na sehem zingnezo.
Katka kile kilichoonekana kuwachosha wananchi hao na wananchi kutokuwa na imani na Mangula na CCM yake. Aslimia kubwa ya watu waliohudhulia mkutano huo walionyesha alama ya vidole viwili wakionyesha imani yao kwa CHADEMA.
Mungu wangu chichidodo huyo alimanusula atoa mchoz jukwaan pale alipoona umati mkubwa ukimzomea kinyume cha mamtarajio yake , kwan hata wale waliovaa sare za kijan walioonyesha kumzomea zaidi.AMA KWELI KIFO CHA CCM IRINGA KIMEFIKA.
Makamu mwenyekiti wa CCM taifa Philp Mangula amekuwa na wakati mugum sana mkoani Iringa katika kuwahutubia wale alioamini kuwa ni wanchama wa CCM katka viwanja vya Mwembetogwa mkoan hapa. Kiongoz huyo wa CCM (chichidodo) amejikuta akiwa na wakati mugmu sana pale aliposhindwa kutoa hoja za kimsingi zenye kutoa majibu ya kero za wananchi mkoan hapa. Kiongoz huyo alisisitiza vikao vya ndan vya chama na kuzid kuwachosha wanairinga waliosombwa kutoka isman, kalenga ,kilolo, pawaga, dabaga na sehem zingnezo. Katka kile kilichoonekana kuwachosha wananchi hao na wananchi kutokuwa na imani na Mangula na CCM yake. Aslimia kubwa ya watu waliohudhulia mkutano huo walionyesha alama ya vidole viwili wakionyesha imani yao kwa CHADEMA. Mungu wangu chichidodo huyo alimanusula atoa mchoz jukwaan pale alipoona umati mkubwa ukimzomea kinyume cha mamtarajio yake , kwan hata wale waliovaa sare za kijan walioonyesha kumzomea zaidi.AMA KWELI KIFO CHA CCM IRINGA KIMEFIKA.
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Moja ya magari yaliyotumika kubeba wafuasi wa CCM
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Wanyakazi wa manispaa ya Iringa wakifanya usafi eneo la mkutano
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Baada ya kushuka kutoka kwenye mafuso, baadhi wafuasi wakijongea kusikiliza hotuba.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Pamoja na somba somba ya CCM, iliambulia umati huu wa watu. Linganisha na picha ya chini iliyopigwa eneo hilo hilo alipokuja Mh. Tundu lisu takriban mwezi mmoja uliopita bila somba somba ya aina yoyote.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hivi ndivyo hali ilivyokua pindi alipofika Mh. Tundu Lisu takriban mwezi mmoja na kufanya hotuba katika eneo hilo hilo
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA pichani wakionyesha umoja wao ndani ya jimbo
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA waliofika kusikiliza hoja za wapinzani watarajiwa.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kijana ambaye nina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa chini ya ulinzi. Hata hivyo alilazimika kuachwa huru kutoka na kundi kubwa la watu kuambatana naye.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mzozo uliibuka baina ya baadhi ya wafuasi wa wageni jimboni [CCM] na wanyeji. Hata hivyo ulitulizwa kwa amani
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Itisha Uchaguzi ndio utajua kama CCM iko hai au imekufa! Kumbukumbu zinaonesha kuwa mara ya Mwisho kumefanyika Uchaguzi wa kata 29,CCM ikachukua kata 22 na vyama vingine vikaambulia kugawana viti 7!
Itisha Uchaguzi ndio utajua kama CCM iko hai au imekufa! Kumbukumbu zinaonesha kuwa mara ya Mwisho kumefanyika Uchaguzi wa kata 29,CCM ikachukua kata 22 na vyama vingine vikaambulia kugawana viti 7!
Mbinu zenu za kutumia pesa nyingi kwa ajiri ya kupigania majimbo ambayo mmepoteza mvuto tume ijua, na sisi tuta weka nguvu kwenye kuwaeleza wanachi mabaya yenu ili hatakama mta wadanganya kwa pesa, wasi waamini tena kwa kukumbuka maovu yenu.
Katibu Mkuu na TRENI Kigomaa... Nape Nnauye alikuwa na Makamu wa Mwenyekiti Mwanza na Kagera huko kulikuwa sio kuzuri Nape Nnauye kamkimbia -- yuko na Katibu Mkuu ndani ya TRENI ya KIGOMA... LOL...
Mkuu huju mdau ameleta habari kwa kirefu na pia amefanya analysis nzuri sana. Ishu ya "kutangaza blog" haipo hapo, just picha ndo zimetoka na hilo jina, je ulitaka a-edit? Hacha kutumia samaburi kufikiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.