Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Nimetoka zangu church, kufungua tv, nawaona ccm! ilibidi nizime na kusali! ni kwanini mungu asiwashushie hata bomu moja kali! liteketeze hicho kizazi chote na umaskini utuondekee! Kulaaniwa kwao ni kwa kuifanya hii siku ya bwana(jpili) kufanya upuuzi

Sorry Bro, Inaonekana kama umetoka church ya mashetani kwa sababu church ya Mungu inasisitiza mapendo kwa jirani hata kama ni mwizi, fisadi. Na umpende kama unavyojipenda wewe halafu linakataza kuhukumu au kumuombea binadamu mwenzako maumivu. Luke 6:32

Kama hiyo church yako ndiyo inafundisha hivyo basi inabidi ubadilishe or seek quick an alternative
 
Acha kujiliwaza na kujifariji sasa CCM wakirudia matapishi yao wewe mpiga debe wa Dr Slaa inakuhusu nini?

Kama kuna mapungufu unayoyasema si ndio vizuri kwa Chadema au?

Kwa hiyo leo unaitakia mema CCM?

-Nani kakuambia najiliwaza?Hivi unatumia kiungo gani kufikiri?CCM ni janga a vizazi na taifa.Kurudia matapishi inanipa picture ya options zilizobaki kwa CCM.Ndio kumjua adui huko.Vipi unaona aibu?

-CCM hata bila mapungufu si competitive bila dola,mapungufu yake ndio wasiwasi wa CDM .CDM hawapendi kupigana na kilema, wala hawapendi kuwa na mpizani legelege.NI CCM tuu ndio wanapenda wapinzani legelege.

-Kwani lini nimewahi itakiwa mema?
 
Swali: Ukianzisha mradi ama NGO yenye ku-aim kuwasaidia wananchi, nje ni lazima upitie ikulu?

Mkuu,
Haya ni maelezo ya hisia tu kwa huyu mtoa thread kwa sababu kilichoandikwa wala hakileti umaana wowote ule. hebu soma hapa 'Mh. Mbilinyi (Sugu) aliwasiliana na Ikulu ili kumhusisha Rais'. Kwa nini awasiliane na Rais?, inamaana hao waliompa huo mradi walikuwa hawamuamini mpaka Rais ajue kwanza. Ludicrous
 
On a serious note, hivi inakuwaje chama kimeshindwa kutuo matokeo ya wapiga kura wasiozidi 2000, leo leo? Ina maana Nape hakuona hilo kama ni fundisho nalo kutoka uchaguzi mkuu wa Marekani?

Mkuu,

Kwenye maswala ya chaguzi za ndani, kila chama kina taratibu zake ambazo vyama vingine havina nafasi kuhoji hizo taratibu isipokuwa wajumbe na wanachama wake. kama wao ndani ya kikao wamekubaliana hivyo kwa nini wewe uliye nje ya hiyo nyumba unaona ni tatizo.

Taratibu zao za kumpata kiongozi ndizo zitazaa matokeo katika chaguzi zinazoshilikisha wananchi wote.

Kama viongozi wao wanapatikana kwa mlungura au majungu basi wananchi watapewa nafasi ya kuwakubali au kuwakataa katika chaguzi zinazoshilikisha wananchi wote.

Hii ndiyo demokrasia ndani ya demokrasia
 
Walistaafu kivipi uwaziri mkuu?

Jibu swali la kwanza pia; juu ya namna ya kuwatofautisha viongozi wastaafu.

Kila mmoja alikuwa na sababu zake za kustaafu. Kuanzia Nyerere mpaka Lowassa.
 
[h=5]Ndege anapokuwa hai anakula funza,anapokuwa Kafa funza humla yeye,..maisha yanabadilika Kila wakati,kwa hiyo usimdharau wala kumuumiza mtu yeyote katika maisha, unaweza ukawa imara sana Leo Lakini kumbuka mda una nguvu kuliko wewe...
Mti moja unaweza TENGENEZA mamilioni ya njiti za kiberiti,Lakini mda ukifika njiti moja tu ya kiberiti inaweza kuchoma msitu mzima.......please kuwa mwema kwa Kila mtu. ....Rev.peter Msigwa
[/h]
 
Asante mkuu kwa kututahadharisha na hao mashetani! ee Mungu tulunde na mashetani!

Sorry Bro, Inaonekana kama umetoka church ya mashetani kwa sababu church ya Mungu inasisitiza mapendo kwa jirani hata kama ni mwizi, fisadi. Na umpende kama unavyojipenda wewe halafu linakataza kuhukumu au kumuombea binadamu mwenzako maumivu. Luke 6:32

Kama hiyo church yako ndiyo inafundisha hivyo basi inabidi ubadilishe or seek quick an alternative
 
Ndege anapokuwa hai anakula funza,anapokuwa Kafa funza humla yeye,..maisha yanabadilika Kila wakati,kwa hiyo usimdharau wala kumuumiza mtu yeyote katika maisha, unaweza ukawa imara sana Leo Lakini kumbuka mda una nguvu kuliko wewe...
Mti moja unaweza TENGENEZA mamilioni ya njiti za kiberiti,Lakini mda ukifika njiti moja tu ya kiberiti inaweza kuchoma msitu mzima.......please kuwa mwema kwa Kila mtu. ....Rev.peter Msigwa

nimeipenda ingawa inauma.
 
Unapenda sana kujichekesha! Kwa hiyo leo umekuwa mshauri wa CCM sasa mbona Mzee Mwanakijiji, Mkandara, Pasco, wakiwapa ushauri wewe utaki povu linakutoka huku ukiwashambulia kuwa wametumwa.
Mkuu Ritz, hawa ndio wale mimi ninaowaita washabiki maandazi!, kazi yao ni kupiga vuvuzela sana kusifia chama chao as if wanakisaidia kumbe ndio kwanza wanakiangamiza, na utakuta sisi tunao kikosoa, kiukweli ndio tunao kisaidia!.
 
Wadau,
Katika maelezo yake kwa kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM huko Dodoma,Mh. John Chiligati alielekeza mlango utakaotumika na wajumbe kwenda msikitini kwa ajili ya ibada lakini sikusikia maelekezo yanayowahusu wanaohitaji huduma ya ibada za kikristo.
NAOMBA NINUKUU " Kwa wale watakaohitaji huduma ya ibada, watapitia mlango ule pale ambapo watakuta msikiti"

Sasa sijui kwa wale wanaohitaji huduma za kanisa waliishapewa maelezo kabla ndo maana hakutoa maelekezo au alisahau?
 
-Nani kakuambia najiliwaza?Hivi unatumia kiungo gani kufikiri?CCM ni janga a vizazi na taifa.Kurudia matapishi inanipa picture ya options zilizobaki kwa CCM.Ndio kumjua adui huko.Vipi unaona aibu?

-CCM hata bila mapungufu si competitive bila dola,mapungufu yake ndio wasiwasi wa CDM .CDM hawapendi kupigana na kilema, wala hawapendi kuwa na mpizani legelege.NI CCM tuu ndio wanapenda wapinzani legelege.

-Kwani lini nimewahi itakiwa mema?

Chadema ndio wapinzani legelege wamekuwa watu wakulia lia ili wananchi wawaonee huruma, saizi wamekuja na mbinu za kitoto eti Usalama wa Taifa wanataka kuwauwa.

Mmekuwa watu wa kuzira bungeni mara mtoke nje, mara mseme hamumtambui rais halafu uongozi wa Chadema mnaomba mualiko kwenda ikulu kunywa juice na JK, mpaka wananchi wameishaouna ulegelege wenu.

Juzi Mbowe, Selasini, na wazee wa Rombo wamemsifia JK ambao hapo mwanzo walikuwa hawamtambui kama rais lakini leo wanamtambua huo sio ulegelege hawana msimamo.

Wewe endelea kupiga porojo JF lakini viongozi wako shida zao zote wanampelekea JK.
 
unaota sana...kumsifia mtu kwa kitendo,hakumaanishi kuwa umemsifia utendaji wake kwa ujumla..hata mimi kuna siku nampongeza mkandara.lakini simaanishi kuwa mkandaa yupo makini kihivo ktk kila kitu.
 
unaota sana...kumsifia mtu kwa kitendo,hakumaanishi kuwa umemsifia utendaji wake kwa ujumla..hata mimi kuna siku nampongeza mkandara.lakini simaanishi kuwa mkandaa yupo makini kihivo ktk kila kitu.
Usikwepe hoja muhimu, mnamtambua kikwete kama rais?? ... Maana mwenyekiti wenu alitoka bungeni na wabunge wake. Sasa mnasmtambua??
Siasa ni siasa tu.... waachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom