Fidelis big
Senior Member
- Aug 31, 2011
- 114
- 34
Kwa hiyo ktk kumjua mpinzani wako, unataka kunambia ManU wanaweza kutoa wazo ni kocha gani mzuri kwa Liverpool nani hafai, mchezaji gani wamuuze au usipangwe?
Siyo mbaya ukishajua udhaifu wake na jinsi ya kumshinda ukamshauri ili next time upate mpinza mwenye nguvu wa kukujenga, mkuu nchi imeshaenda tunachofanya ni kujenga upinzani mzuri utakaoimarisha utawala wetu pindi tutakapochukua nchi, CCM tunataka mje kuwa chama pinzani chenye nguv coz CUF mmeshakichinja