Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

kikao ya CCM haiwezi isha bila vituko....kusikilizwa ni sehemu ya kupata burudani ya kucheka bure, pia huwa wanaongea kama wanaota usiku huwa wanajisema vibaya bila jijua. Wanaongea huku wakiweka reference kwa CDM sawa,wanawashutumu kuwa wanawavuruga, wanawakubali kuwa ni tishio, wanakataa kuwa haiwezi tawala na mengine yanayoonyesha kuchanganyikiwa kwa kila mwana CCM. The funny side ni kwamba wa hawatamaliza bila drama.
 
Mapambano dhidi ya rushwa yanaendelea na yanapaswa kufanyika bila woga
 
Huo ni mkutano mkuu wa watoa rushwa!na rushwa ya leo inagawanywa kisayansi zaidi hata takukuru hawezi kuona[/QU
ccm ni chama kilichojaaa rushwa yani ccm= rushwa na kama ccm=takukuru therefore takukuru=rushwa...
maana takukuru nao ni sisiem...
 
Tunashukuru wananchi kwa kutupa ridhaa ya kuongoza serikali zote mbili ya muungano na ya mapinduzi ya znz
 
Analizungumzia suala la rushwa kuwa kama CCM itashindwa kulikomesha hilo pekee la tosha kuwachukiza wananchi na kuwafanya waseme ngoja tujaribu na wengine ambao wanaweza kututoa hapa.
 
Rugeee katanywa anahusika na mitambo. Kuna nini tenaaaa hapo

Hata mimi nimemsikia akimtaja Ruge kwa jina na kuuliza kuwa kwani hamjafanyia majaribio kama sauti zinasikika kwenye spika zote? Shame kwa wataalam wa sauti waliofunga sound kwenye mkutano huu mkuu wa chama kinachoshika dola. Hongera Mh. Rais kwa kuwakosoa "Live"
 
Kkikwete aonesha kuikubali Chadema. Asema wanajaribu na watakuwa wazuri sana baadae. Ilikuwa ni lazima aseme baadae ingawa kwa sasa ndio chama kinachowachachafya sn na pia kupendwa na wananchi hasa vijana na wasomi
 
Anakisifia chama cha CCM kuwa ni chama dume, ukifanya utoto wako huwezi kukiathiri.
 
Namuona El kwa mbali kajichanganya na wajumbe
 
Wanabodi nipo ninafuatilia mkutano mkuu wa ccm kupitia runinga. Jambo moja lililonigusa ni uungwana wa Kikwete kukiri kwamba kwa sasa upinzani umekomaa sana na hauwezi kulinganishwa na ule dhaifu wa 1995. Hoja hii ameitoa pale alipokuwa akiwasisitiza wajumbe kuona umuhimu wa kuwa na vyanzo mbadala vya mapato kuliko kutegemea ruzuku ambayo inategemea idadi ya kura. Alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa upinzani sasa unafanya vizuri zaidi na huko tunakokwenda ndio watafanya vizuri zaidi. Je Kikwete anaiandaa ccm kuwa chama cha upinzani?
Tatizo lake ni kwamba hajapata ujasiri wa kusema ukweli na kwa heshima.Hajafikia mahalai pa kuwa mwangalifu kwa kauli yake kw akiasi cha kufanya aonekane kuwa anaheshimu vyama vingine. Anakubali huku anakebehi, mwihso wa siku net effect bado ni mpuuzi.Kwani kuikubalia CDM kuwa ni chama makini hata kama wana ccm hawatapenda au hata watakwenda CDM lakin mwisho wa siku anakuwa kasema hali halisi na kuwakumbusha wana CCM waacha mizaha na wafanye kazi kwa bidii na ubunivu positive,ataumia wapi?
 
Katika hali ya kuonesha kwamba bado tatizo la rushwa ndani ya CCM linaendelea kukiumiza vibaya chama hicho mwenyekiti wa taifa wa chama hicho mh. jakaya kikwete...amesema Taswira ya chama hicho mbele ya jamii si nzuri na kwamba jamii inaweza kuchoshwa na kuamua kuweka wengine, huku akijitamba kwamba bado ccm haina mbadala japo wapo marafki zao wanajarib jaribu, source; tbc1 live, kizota dom.
 
Kauli mbiu ya mkutano huu iwe umoja ni ushindi,tuache siasa za chuki na makundi
 
Back
Top Bottom