Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Hotuba ya Mwenyekiti inazungumza ni nini kimeifikisha CCM hapa ilipo na nini kifanyike...!
 
Mbona kama vile anachochea migogoro badala ya ku-solve?? Kama vile anamtaja Lowasa sasa hivi au Membe au Six.............
 
Kwanini umchukie mtu alieamua kumuunga mkono mgombea yule na kukuacha wewe?
 
Wanajamvi heshima kwenu kwa hoja
Yamo katika hotuba yake ya mkutano mkuu wa chama kama inavyosikika LIVE kwenye vyombo vya habari na tunayemsikiliza
Hii imekaaje wadau
mods jamani msiiunganishe
 
Jk amesahau aliyomfanyia Salim Ahmed Salim wakati anagombea urais 2005
 
mbona ni mipasho tu hana point na kujitetea?? kasahau kuwa kambi yake ni familia yake?? Nani asiyejua kuwa yuko upande wa Loh-hasa
 
Tukiacha haya ya uchaguzi hakuna mgogoro mwingine kwenye chama,mm binafsi siuoni
 
sio mchezo, watu wanalichukia ili lichama lakini rushwa zake wanapokea na kupiga kura, kwa nini msipokee RUSHWA bila kuwapigia kura kwenye chaguzi kuu?

Nimetoka zangu church, kufungua tv, nawaona ccm! ilibidi nizime na kusali! ni kwanini mungu asiwashushie hata bomu moja kali! liteketeze hicho kizazi chote na umaskini utuondekee! Kulaaniwa kwao ni kwa kuifanya hii siku ya bwana(jpili) kufanya upuuzi
 
Hatimaye jk aruhusu makundi ndani ya ccm! Nanukuu baadhi ya maneno 'kwa nn umemchukie mtu anaemuunga mkono mtu mwingine' wat he means
 
Ngazi zote ndani ya chama wawatambue watu hawa wanaotugawa na kuwaonya
 
Tuache kutumia fedha kushawishi wapiga kura,ni doa kubwa sana
 
Napenda kuwahakikishia watanzania kuwa tanzania iko salama.ht mpaka wetu na malawi upo salama
 
anasema tanzania iko salaama mipaka yote iko salaama. ametolea malawi
 
Back
Top Bottom