Mkutano wa CCM Jangwani: Usafiri Upo (Mabasi na Fuso)

Chama kita toa buku tano kwa kila mwanachama hili ili uwanja wa jangwani ujae .

Madereva pikipiki wata ongoza msafara hadi jangwani na posho yao ni elf kumi.

Wanachama wa nyinyiemu ruksa kutembea kwa makundi hadi jangwani.

.polisi wapo wakutosha kuwalinda hata kama wanachama wa nyinyiemu wakitembea kwa makundi kutoka kibaha hadi jangwani.

.diomond,ay,barnaba,linal na wengine kibao watatumbuiza.

.viongozi wa kitaifa wataongelea mambo yanayo wahusu wananchi wote kwenye mkutano wa nyinyiemu maana wananchi wote ni wana nyinyiemu.

. Agenda kuu itakuwa ni jinsi ya
kupambana na chadema.

.wanachama wapatao 3000 kutoka chadema watajiunga nyinyiemu,na kadi za chadema zinachapishwa pale kariakoo ili kuwapa wana nyinyiemu wazirudishe pale jangwani.

. Lusinde ndie atakaye fungua kwa hotuba ya kumponda dr slaa na lema.
 
Kabla ya picha,soma tangazo hili:



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mijinga kama hii ndiyo inasababisha matatizo katika nchi hii. Kwa jinsi hii, nitajitoa kuwa "alumni" wa UDSM! Of all the places, UDSM ndiyo inatoa mabasi kuwasafirisha wanafunzi kwenda kwenye mkutano wa CCM?
 
Jamani natafuta Khanga na Kofia nitapata wapi ili kesho niende!Uwwii kesho itakuwa funika mbovu na wenye sumu wajinyonge
 
Kupelekwa na kutelekezwa baada ya mkutano ni kawaida ya CCM. Si mnakumbuka mkutano wa pale Kirumba mwanza nini kilitokea..!!!? Mtakaokwenda hapo mkutanoni, jiandaeni kurudi kwa kujitegemea. Haya mambo ya kupelekwa na kururdishwa hayapo CCM
 
Ndugu zangi maswali madogo: -
1. Lengo la mkutano nini nini?
2. Je utarushwa live ili nasi wa mbali tuone?
Nashukuru.
Natoa majibu ya maswali hayo, kama unaona si majibu basi weka yako.......
1. Lengo la mkutano nini nini? HAWANA LENGO ZAIDI YA KUWAIGA CDM
2. Je utarushwa live ili nasi wa mbali tuone? SINA UHAKIKA................
 

Tunaomba nakala ya waraka huo wa CCM kwenda kwenye matawi yake!!!
 

Nasikia kesho wameandaa mamluki kwa ajili ya kurudisha kadi za chadema




Baraka Boki (MEng, MBA from Duke University)
 
Jamani natafuta Khanga na Kofia nitapata wapi ili kesho niende!Uwwii kesho itakuwa funika mbovu na wenye sumu wajinyonge




Bollocks!!!
 

Attachments

  • Wazee wa Usafiri na Ubwabwa.jpg
    111.2 KB · Views: 91
Hii Thread inayauma Magwanda.
Ha! ha! ha! ha!
CCM chuma cha pua, hakiyeyushwi na MOSHI
 
mfumuko wa bei,mishahara duni kwa wafakazi wa umma,ufisadi,ufukara,manyanyaso na mauji kwa raia wasio na hatia,na upumbavu mwingine mlio wafanyia watanganyika,acheni kuiga chadema wenzenu wana hoja za mvuto na zina kubalika,wezi wa kubwa nyie

Ha ha ha haa, usinipiga mawe mkuu mie nilikuwa nawasilisha waliosema kupitia katibu mwenezi wa mkoa wa dsm.
Nawakana watu hawa sio mmoja wao!
 
By MANGUNGO

Mfumuko wa bei,mishahara duni kwa wafakazi wa umma, ufisadi, ufukara, manyanyaso na mauji kwa raia wasio na hatia, na upumbavu mwingine mlio wafanyia watanganyika, acheni kuiga chadema wenzenu wana hoja za mvuto na zina kubalika, wezi wa kubwa nyie.

Daaaahhh kumbe somo wanalifahamu hivi, pamoja na MUZIKI WA CHADEMA kwa walalahoi nchini, hata nao kule kambi ya WanaChaamwino!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…