Mkutano mkubwa wa siri wa NATO unafanyika Poland bila ya uwepo wa Marekani

Jijini Lublin nchini Poland kuna mkutano mzito unaoendelea wa nchi wanachama wa jumuiya ya NATO, lakini cha kushangaza Kiranja wao Marekani hajaalikwa katika mkutano huo.

Baadhi ya maswali ni mengi ninayojiuliza;
1. Thima kuu ya Mkutano huo ni nini hasa??
2. Ni kwa nini Marekani hajaalikwa?

3. Je, nchi za umoja wa Ulaya zinataka kujiondoa katika mzozo wa Ukraine na Urusi?

4. Au zinajadili hali mbaya ya kiuchumi katika ukanda huo?

5. Au zimechoshwa na tabia ya matonya Zele ya kutembeza bakuli?

Nk,
Nk,
Nk.

Pichani: aviation satellite images zikionyesha anga la Poland na nchi jirani na ndege za matifa kadhaa ya Ulaya yaliyohudhuria mkutano huo.
View attachment 2770434View attachment 2770435View attachment 2770436View attachment 2770437
IMG_20231002_190410.jpg
 
Proof niweke mimi kitu ambacho hakipo?

Hakuna mkutano wa NATO unaoendelea Poland sasa hivi, nikuwekee hewa?

Ukraine war: Western allies say they are running out of ammunition​

Adm Rob Bauer, Nato's most senior military official, told the Warsaw Security Forum that "the bottom of the barrel is now visible".
He said governments and defence manufacturers now had to "ramp up production in a much higher tempo".
Ukraine fires thousands of shells every day and most now come from Nato.
The admiral, who chairs Nato's Military Committee, said decades of underinvestment meant Nato countries had begun supplying Ukraine with weapons with their ammunition warehouse already half-full or even emptier.
 
Kili nikiisoma hiyo habari na jinsi vile mnaibeba naona ni vitu viwili tofauti

By the way, have some snacks Polish president says Biden assured partners of continued support for Ukraine
 
Kuna yule jamaa wa Ufaransa Macron aliwasanua Kuwa saiv Bara ulaya linatakiwa Kuwa na Jeshi lake la kujitegemea kuliko kuwategemea Marekani,, kitendo Cha kusema hivyo Ufaransa Kapoteza Makoloni yake Africa Magharibi.

Kwaiy n mda Sasa Ulaya waamke waache kua vibaraka USA,, Mbona wenzao Kule Asia 🌏 China Korea Urusi siyo vibaraka wamejenga majeshi yao na uchumi wao wapo vizuri aiseee....
Apo ingekuwa kipindi kile Cha mahusiano mazuri na USA, angempambania ufaransa katika sakata lake uko kwy makoloni yake
 
Ukraine war: Western allies say they are running out of ammunition​

Adm Rob Bauer, Nato's most senior military official, told the Warsaw Security Forum that "the bottom of the barrel is now visible".
He said governments and defence manufacturers now had to "ramp up production in a much higher tempo".
Ukraine fires thousands of shells every day and most now come from Nato.
The admiral, who chairs Nato's Military Committee, said decades of underinvestment meant Nato countries had begun supplying Ukraine with weapons with their ammunition warehouse already half-full or even emptier.
Huo ndiyo mkutano wa siri wa NATO? Hivi unafikiri Watanzania wote ni mabumbumbu?

Hizo habari zipo BBC na Wamerekani uliosema hawapao, hawa hapa:

The US state department says that over the same timescale, America has given Ukraine more than two million Nato standard 155mm artillery rounds.
Chanzo cha hizo habari ni BBC:

Hivi wewe unatuona mapoyoyo sana hapa JF?
 
Back
Top Bottom