Kwamba mkutanio wa siri.Aisee, wabongo kwa kweli hamuwezekaniki aisee
🤣🤣🤣🤣🤣Mkutano wa Siri wa ulaya mnyiramba anaujua undani wake wakati mkutano wa Siri wa nchi yake tu haujuhi, hii ndio Tanzania yangu ina Kila aina ya wajuaji
Mashushu wabobevuAisee, wabongo kwa kweli hamuwezekaniki aisee
Weka proof kwamba ni uongo.
Proof niweke mimi kitu ambacho hakipo?Weka proof kwamba ni uongo.
Mpaka sasa Marekani hajui wenzake wa NATO wapo wapi, kumbe wamemtoroka wenyewe wamejifungia kwenye kikao😃Mashushu wabobevu
Jijini Lublin nchini Poland kuna mkutano mzito unaoendelea wa nchi wanachama wa jumuiya ya NATO, lakini cha kushangaza Kiranja wao Marekani hajaalikwa katika mkutano huo.
Baadhi ya maswali ni mengi ninayojiuliza;
1. Thima kuu ya Mkutano huo ni nini hasa??
2. Ni kwa nini Marekani hajaalikwa?
3. Je, nchi za umoja wa Ulaya zinataka kujiondoa katika mzozo wa Ukraine na Urusi?
4. Au zinajadili hali mbaya ya kiuchumi katika ukanda huo?
5. Au zimechoshwa na tabia ya matonya Zele ya kutembeza bakuli?
Nk,
Nk,
Nk.
Pichani: aviation satellite images zikionyesha anga la Poland na nchi jirani na ndege za matifa kadhaa ya Ulaya yaliyohudhuria mkutano huo.
View attachment 2770434View attachment 2770435View attachment 2770436View attachment 2770437
Proof niweke mimi kitu ambacho hakipo?
Hakuna mkutano wa NATO unaoendelea Poland sasa hivi, nikuwekee hewa?
Kili nikiisoma hiyo habari na jinsi vile mnaibeba naona ni vitu viwili tofauti
Ukraine war: Western allies say they are running out of ammunition
Adm Rob Bauer, Nato's most senior military official, told the Warsaw Security Forum that "the bottom of the barrel is now visible".
He said governments and defence manufacturers now had to "ramp up production in a much higher tempo".
Ukraine fires thousands of shells every day and most now come from Nato.
The admiral, who chairs Nato's Military Committee, said decades of underinvestment meant Nato countries had begun supplying Ukraine with weapons with their ammunition warehouse already half-full or even emptier.
Apo ingekuwa kipindi kile Cha mahusiano mazuri na USA, angempambania ufaransa katika sakata lake uko kwy makoloni yakeKuna yule jamaa wa Ufaransa Macron aliwasanua Kuwa saiv Bara ulaya linatakiwa Kuwa na Jeshi lake la kujitegemea kuliko kuwategemea Marekani,, kitendo Cha kusema hivyo Ufaransa Kapoteza Makoloni yake Africa Magharibi.
Kwaiy n mda Sasa Ulaya waamke waache kua vibaraka USA,, Mbona wenzao Kule Asia 🌏 China Korea Urusi siyo vibaraka wamejenga majeshi yao na uchumi wao wapo vizuri aiseee....
Umenifurahisha WallahUna uhakika huo ni mkutano wa NATO siyo wa EC? Au unacheza na ujinga wa Watanzania?
USA anaweza akasimama peke yake bila NATO. Lakini NATO haiwezi kusimama bila USAHakuna NATO bila USA...
Leta usuli badala ya kulaani laaniUna uhakika huo ni mkutano wa NATO siyo wa EC? Au unacheza na ujinga wa Watanzania?
Huo ndiyo mkutano wa siri wa NATO? Hivi unafikiri Watanzania wote ni mabumbumbu?
Ukraine war: Western allies say they are running out of ammunition
Adm Rob Bauer, Nato's most senior military official, told the Warsaw Security Forum that "the bottom of the barrel is now visible".
He said governments and defence manufacturers now had to "ramp up production in a much higher tempo".
Ukraine fires thousands of shells every day and most now come from Nato.
The admiral, who chairs Nato's Military Committee, said decades of underinvestment meant Nato countries had begun supplying Ukraine with weapons with their ammunition warehouse already half-full or even emptier.
Sahihi kabisaUSA anaweza akasimama peke yake bila NATO. Lakini NATO haiwezi kusimama bila USA
Mpaka sasa Marekani hajui wenzake wa NATO wapo wapi, kumbe wamemtoroka wenyewe wamejifungia kwenye kikao😃
Yaani mimi niamini vitu vya aina hii? Hata akinikuta sina kichwa bado hatawwza kuniaminisha hiki.😀Mnauamini huo uongo?