Mkutano kujadili ukaidi wa watoto makanisani na mashulen waanza berlin:pope aaalikwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano kujadili ukaidi wa watoto makanisani na mashulen waanza berlin:pope aaalikwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 23, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Sakata la unyanyasaji wa kijinisia uliotokea kwa mapdre kuhusu watoto wetu limezua mambo mengine Leo hii uko Berlin WANAHARAKATI waanafanya mkutano mkubwa kujadili unyanyasaji wa kijinsia kuhusu watoto wetu mashulen na makanisan...habari zaidi zinasema inawezekana sakata la shulen limeingizwa baada ya kuona mapdre waliokuwa wakiaminika kututendea mambo haya ya kidhalimu na baya zaidi jambo hili lilishapelekwa tangu utawala wa pope john pau 2 lakini vatican wakakalia chini ndipo waungwanana wenye ushahidi wakaliamsha upya...hii ni hatari kwa mamlaka inayoaminika kulinda jamii kukalia maovu kama haya na hivyo kutuweka katika hali ya uoga kwa madada zetu walioamua kuwa masister yawezekana yapo mengi yanatokea juu yao siri yao

  Wanaharakati hao wamepanga kuelekea LONDON,PARIS,NIGERIA,MEXICO NA SEHEMU ZINGINE kuhimiza haki zawatoto hasa wanapokabidhiwa kwa mamlaka yenye kuaminiwa na kufanyiwa uharamia........

  Wakati huohuo sakatala unyanyasaji wa watoto limechukua sura mpya baada ya jana mapadre 3 wa kijermani kuomba ku resign na kukubaliwa na pope kwa kukiri makosa juu ya watoto...

  Mungu aturehemu ......haya ndio makanisa ya wazazi wetu sijui tukimbilie wapi sasa???
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,195
  Likes Received: 1,000
  Trophy Points: 280
  Ole wake mtu yule ambae tumaini lake ameliweka kwa binadamu mwinzie. Pdidy kuna mahahali pamoja tu palipo salama kukimbililiwa, ni kwa Mungu tu na Mungu pekee!!!
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Best baki na imani yako kwa Mungu, tatizo haliko katika kanisa bali watu walio ndani ya kanisa, lenyewe labaki katika msimamo ule ule wa kukemea maovu na kuhubiri mema hata kama sisi tunaohubiri mema tunatenda kinyume!
   
 4. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Huwezi ukatofautisha kanisa toka (apart from) kwa waumini wake. The church does not exist independent of the disciples. It is humans who organize the doctrines that define a particular church, and we know very well how much sins have been committed by those church leaders since the inception of the "church".

  Remember Saint Paul, the Apostle. Well, he never reject slavery but only asked that they be treated humanely. What a bullshit proposition. And remember the catholic church's inquisition? A tool created to vigorously punish those who opposed the churches doctrine. Many were murdered ...(I thought "god" was the one who should judge and punish...).

  Yani waumini kama mtaendelea kuwapigia debe na kuwafagilia hao viongoziwenu huko Roma, basi kweli hakuna tena fikra huru duniani. Yani ninoma kishenzi, duuhh!
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Mungu mwenyewe (this Judeo Christian / personal god) katengenezwa na watu.Kwa hiyo ukijidanganya huweki tumaini kwa watu unaweka kwa mungu, wakati huo huo unasoma biblia iliyochapwa na binadamu, bado utakuwa hujafanya kitu.

  Kitu cha kwanza kuelewa ili kujitoa katika utumwa huu ni kwamba mungu hakumuumba binadamu, bali binadamu ndiye aliyemuumba mungu, in terms of binadamu kutunga idea ya kuwepo mungu.

  Hogwash.

  Ndio maana unaona upuuzi wote huu usioelezeka.
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,195
  Likes Received: 1,000
  Trophy Points: 280
  .
  Habari unazosema zimeandikwa na binadamu, ni kweli binadamu ameziandika lakini sii za kwake bali za Mungu. Zimeandikwa miaka elfu kadhaa na bado mpaka leo hii zii hai na zinatenda kazi sii tu mpaka kizazi chetu bali vizazi lukuki vijavyo. Habari zetu sisi wanadamu zipo kwenye magazeti na majarida lukuki na katika masaa 24 hu-expire. Na kwa habari za kisayansi tuna chunguzi nyingi tu zilizo gunduzi mpya ya zile za nyuma yake kuonyesha kuwa sisi binadamu tunajiongezea maarifa kutoka katika vitu(maumbile) yaliyokuwepo toka milele bila kuwa washiriki wa kisababishi cha hayo maumbile. Yale tunayoyagundua haimaanishi kuyaumba kwani yamekuwepo toka enzi za babu wa babu wa mababu zetu. Hivyo basi ikiwa hatujilazimishi kuwa washupavu wa nadharia za kufikirika ni lazima tukubali yupo Mungu ambae yeye ndio asili ya maumbile(creator).
   
 7. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mbongo mwenzangu, nikweli tunagundua vitu ambavyo vimekuwepo.
  Lakini hiyo isitulazimu kuumba "mungu" eti kwasababu hatujui ulimwengu ulianzaje.
  Sawa yesu na ukristo sasa una miaka 2000. lakini jiulize kwanini hao walio tuletea hiyo dini wameshaanza kuishiti... wana acha kumuabudu huyo mungu. Hivi unafiri hiyo trend itaishia huko kwao tuu? Yaani wewe mwafrika ambaye ulikuwa mpagani kabla ya wazungu kuja na uzushi wao, leo unajifanya kumjua huyo mungu kuliko wao ambao wanaiacha hiyo imani. Kuna msemo ambao unasema kama hivi: "historia ya dunia iko mbele, sio nyuma".

  Pia naona hukumuelewa Bw Kiranga anachosema kuhusu "binadamu kumuumba mungu". Nitajaribu kufafanua zaidi:

  Mungu tunamjua kwa kuambiwa na binadamu wenzetu. Hajawai kujitokeza nakuongea mbele ya watu (Aliongea na Musa mlimani, lakini inabidi ufunge ubongo kuamini hayo maana alikuwa peke yake huko). Vitabu vya huyo mungu (quran, torah, na new testament) vimeandikwa na watu kama sisi. Watu wa dini watadai insparation, lakini ukweli nikwamba hamna kitabu chochote cha dini ambacho "kiliteremshwa" kutoka mbinguni. Kwahiyo, ni wazi mungu tumemtengeneza wenyewe. Ndiomana mungu wa wachina, anatofautiana na mungu wakiarabu au wa wayahudi. Nikwasababu tamaduni zinatofautiana...
   
Loading...