Mkutano ACT Kigoma Ni Aibu Tupu

Mkutano ACT Kigoma Ni Aibu Tupu

Hahahaha nyie misukule mbona mnaweweseka sana?Leo hii Cuf iekuwa sio ccm B tena?

CUF imeshaachana Na CCM, sasa hivi iko UKAWA. Imebakia tu kutangaza rasmi kaada ya kukamilisha taratibu zake za kikatiba
 
Nami nilikuwa cdm sasa naichukiya xcdm tena sana madicteta weusi nyiye
Mnajificha kwa wananchi ilhali nyiye wabaya kweli
Tutaona 2015 siombali

Mkuu hapa unachokiongea unakielewa?
CHADEMA haijawahi kushika dola Maana udictator unatoka wapi!
 
ACT sikio linalojaribu kunenepa ili lizidi kichwa, je utakuwa unene au ugonjwa?? tusubiri episode inayofuata 2015
 
Nami nilikuwa cdm sasa naichukiya xcdm tena sana madicteta weusi nyiye
Mnajificha kwa wananchi ilhali nyiye wabaya kweli
Tutaona 2015 siombali
huyu tayari kisha jiunga ATC maadamu alikuwa cdm, sifa pekee ya kuupata uanachama ACT ulikuwa nayo.huo ubaya sijui ulimahanisha wa sura!???, lakini ukirudi huku mtaani maisha yana tukoboa bila kuangalia mzuri na mmbaya vinginevyo nawewe utakuwa unatoka kwenye ukoo wa wale wanao nunuliwa hata chu.pi kwa kodi za wana nchi na bado waka "dhubutu na kuweza" kula bila kunawa. bai ze wei, nasikia kuwa mwezi wa 9 umeme utapanda kwa % 41.7, ni kweli?
 
nani anakifadhili????? au ndio pesa zake zinapitia fbme??
 
Kila kuchao utasikia 'kutakuwa na Mkutano Mkubwa Wa ACT... mahala fulani'

ACT imepata aibu, Kigoma ikiwa ndio ngome yake kuu, inasikitisha kuona mahudhurio kidogo kiasi hiki.

Inaonekana wananchi wameshashitukia dili; ACT ni ajenti wa CCM. Hata kwenye huu Mkutano Wa kigoma jana 23.07.2014, Na mikutano iliyotangulia kazi kubwa ni kushambulia CHADEMA. Huu ni mkakati wa ajabu kwani CHADEMA si Chama tawala. Matatizo ya nchi hii kwa wananchi hayatokani na CHADEMA. Yanatokana Na uongozi mbovu wa Chama tawala.-

Chama chochote cha siasa lengo lake ni kutwaa dola. Lakini inaonekana dhahili kwamba ACT lengo lake ni kupambana na vyama vya upinzani hasa hasa kupambana na CHADEMA!-

Kwa maana hiyo ACT imejiweka wazi lengo lake na kirefu chake sahihi ni Alliance for Conspiracy and Traitors Au Alliance of Cowards and Traitors kwani tumeeendelea kushuhudia wasaliti, waoga na wala njama wakiendelea kurubuniwa kujiunga na chama hiki ili kuendelea kurubuni viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani.

Shame on you ACT Na umamluki wenu

AcT ndio kitu gani...Upuuzi mtupuuuuuuuuuuuu
 
Style ya kurusha giwe kizani ukisikia bwe!!!!!! Ujue tayari kuna mtu limempata..... Kelele zoote hizo ujue tayari #ACT imeshapeleka maumivu #CDM
 
Back
Top Bottom