BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,744
- 3,546
Hahahaha nyie misukule mbona mnaweweseka sana?Leo hii Cuf iekuwa sio ccm B tena?
Taarifa ya kuaninika ACT ni back up ya Njama za CCM kuua Au kudhoofisha nguvu ya CHADEMA Na CUF. Na mwenyekiti wake ni Zitto, sasa hivi anaongoza kwa remote