- Thread starter
- #121
Style ya kurusha giwe kizani ukisikia bwe!!!!!! Ujue tayari kuna mtu limempata..... Kelele zoote hizo ujue tayari #ACT imeshapeleka maumivu #CDM
Mkuu Hakuna maumivu yoyote kwa CDM. isipokuwa tunashangaa kwa nini Chama kifanye kazi ya umamluki Wa Chama kingine badala ya kupambana kuingia ikulu!