KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,551
- 813
Kama unazo zinazoonyesha mikutano iliyosheeni watu tupia hapa uongo ujitenge na ukweli,tusiandikie mate mjomba.Mtoa mada hajatoa hata picha kuonyesha jinsi watu walivyokuwa, sasa tutaamini kwa maelezo ya kutengeneza!!! Tafadhari tunaomba uweke picha za mikutano hiyo.