Mkutanao wa hadhara wa CCM Mailimoja wadoda

Mkutanao wa hadhara wa CCM Mailimoja wadoda

mwanakidagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
208
Reaction score
78
Jana ilitangazwa kufanyika kwa mkutano wa CCM ukiwa na niya ya kuelezea mafanikio ya ilani. Taarifa ilikuwa huo mkutano ungeanza saa 5 asubuhi. Matokeo yake hadi saa 7 hii hakuna watu hapo uwajani. Na mkutano ilitakiwa ufanyinge katika uwanja wa mpira maili moja Kibaha.

Kuna wanachama wachache waliotoka mikoa jriani kama Dar ambao wanazunguka zunguka tu huku wengine wakiwa karibu na vibanda vya karibu kujipatia vinywaji.

Nawasilisha.
 
mkuu, kaa hapo usibanduke ... saa 7 bado, fuso zitaanza kuingia

utuwekee na picha
 
edit kulingana na mda ulio post. je kuna tetesi yoyote kwa wasaliti wa chadema ambao ni madiwani watajidhihilisha mbele ya wananchi?. mia
 
wanavuta pumzi, subiri malori yatakavyoanza kuingia. usisahau kuyapiga picha
 
Sijui ni nani alitoa hili wazo la CCM kutembea nchi nzima kueleza mafanikio? Yaani watu watoke kwenye nyuma za mbavu za mbwa na tembe kwenda kusikiliza 'mafanikio'? Muuza mboga mboga barabarani - tena chini- aache kuwinda wateja akasilikize 'mafanikio? Au mama aliyjifungulia chini kwenye sakafu atoke nyumbani kwenda kusikiliza 'mafanikio?

Very confusing!
 
Kuna Masalia mmoja aligombea Kibaha nasikia ndiye anapita kila kona kuhamasisha Magamba wahudhurie mkutano.Pia kachapisha kadi kibao za Chadema eti ili zirudishwe kwenye mkutano.PM7 kazi mnayo..
 
Labda bado wanasaka watu kwa maroli na mabasi toka mikoa jirani, tusubiri
 
Inamaana Mkuu hata wale Wabunge saba tulioambiwa bado hawajafika?
 
mwigulu wapi......hajapata kiharusi au ananunua wtu mida hii wakajaze uwanja
 
Jana ilitangazwa kufanyika kwa mkutano wa CCM ukiwa na niya ya kuelezea mafanikio ya ilani. Taarifa ilikuwa huo mkutano ungeanza saa 5 asubuhi. Matokeo yake hadi saa 7 hii hakuna watu hapo uwajani. Na mkutano ilitakiwa ufanyinge katika uwanja wa mpira maili moja Kibaha.

Kuna wanachama wachache waliotoka mikoa jriani kama Dar ambao wanazunguka zunguka tu huku wengine wakiwa karibu na vibanda vya karibu kujipatia vinywaji.

Nawasilisha.
Mkuu una post saa 5 halafu unajichanganya eti sasa ni sa 7!! Huwa huoni aibu? huna elimu kabisa maana hata uongo unahitaji elimu
 
Tuma vijana waende kwenye vile vibanda kwa magambwa kule wanakunywa juice. Wakasikilize kile wanaongea tujue wanajisikiaje wanapokosa watu!
 
Wabunge na Madiwani wa CDM Alio dai Mwingulu watakuwepo hujawaona wakirandaranda hapo??? Hebu weka picha
 
Hahhahahhahahhhahaahahaha
Yani Mwigulu Nchemba hadi sasa hao wabunge 7 hawajajitkeza tuu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom