mkurya na kissing | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkurya na kissing

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by charminglady, Apr 20, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  mwanajesh 1 alikwenda kusomea ukomandoo nje ya nchi,pamoja na masomo pia alijifunza vitu mbalimbali vipya ikiwemo tongue kiss.alvorud akaanza kumkiss mkewe! mke:bhabha bhoke tangu umetoka uraya kaz yako ni kunirambaramba tu.kwan urienda kusoma au kujifunza kurambaramba??
   
 2. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Warning !!!
  Virus has been caught
  Network corrupted !
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  hahaha!
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tongue kiss kwenye ukomando?
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  jaman mbna we mgumu kuelewa c kwamba tongue kiss ni moja ya mafunzo. kwan hufaham msemo wa mjini shule, au ndo wataka kunambia wote walio mjin ni wasom au ndo wanasoma wakiwa mjin au ni lazma kusoma ukiwa mjini?pole
   
Loading...