Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Obeid Mbangwa, amefukuzwa kazi. Wengine ni Frank Mlemi na Simon Wella. Kosa lao ni la kujihusisha na ufisadi usafirishaji wanyamapori nje ya nchi. Kufukuzwa kwao kumetengazwa asubuhi hii na Waziri Kagasheki, Dodoma
Amefukuzwa tu? Hakuna kosa la jinai hapo?
Kishwahili kigumu nini? au wewe mnyasa? Wamerudia saa saba mchana TBC1 amefukkuzwa na wenzanke wawili.Anaenda kufukuziwa bungeni? Amesimamishwa kazi ama amefukuzwa? Manake kuna tofauti hapo!
sasa tunasubiri aburuzwe mahakamani kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake
Mafunzo yake magumu sana, ni lazima uwe mvumilivu. Uko tayari?Mimi nataka anifundishe kupakia Twiga kwenye ndege
Taratibu zingine zitafuata baadaye.
Mimi nataka anifundishe kupakia Twiga kwenye ndege
Amefukuzwa tu? Hakuna kosa la jinai hapo?
asigeuke Prof Mahalu tu....maana Tanzania bila wala rushwa inawezekana teh teh teh