kudamademede
Member
- Jan 1, 2020
- 62
- 241
Mkurugenzi wa Halimashauri wa Wilaya ya Mbozi unaihujumu halmashauri. Tangu umeletwa Mbozi maendeleo nayo yamezolota hunaushirikiano mzuri na sisi madiwani; fedha za maendeleo umezifanya za kwako hatutakubali kabisa.
Tumeshindwa kuendeleza shule zilizotakiwa ziwe High School kwa sababu yako. Umekuwa mbishi. Hao wanao kushauri mambo ya hovyo hawatakufikisha popote; hii ni halmmashauri yetu, kwanini hushirikiani na sisi madiwani au kwasababu una element za upinzani?
Pia umeanza siasa, unashirirkiana na wanaotaka kugombea ubunge tunakuangalia sana.