Mkurugenzi wa Tarime mjini apata ajali Manyoni Singida

Taarifa ya ajali Manyoni, Singida.

Jamani hii ajali mbaya nimeishuhudia nipo kwenye Nyehunge ya Mwanza kuja Morogoro mjini duuhh mbaya sana imehusisha fuso moja hivi nayo tairi za mbele zote zimechomoka ndio chanzo cha ajali hii.

=====
Mkurugenzi wa Tarime Mjini amepata Ajali mbaya sana maeneo ya Manyoni, Dereva na Afisa Maendeleo ya Jamii wamefariki papo hapo, Mkurugenzi na Afisa Mipango wapo Hospitali kwa matibabu.
Waliokuwa wamekaa nyuma ukute walikuwa hawajafunga mikanda! Haya makitu wakati mwingine huwa yanasaidia sana ingawa vilevile mara moja moja wanaweza kukunyonga. Kwa dereva na wa nyuma yake ilikuwa hakuna jinsi
 
Wakurugenzi magari yao plate number ni DFP??

Pole zao, R.I.P waliofariki!

Ila kuna haja ya kuwekea ving'amuzi magari ya serikali, speed limit iwe 80km/hour.
Maana yanakuwa kama testing grounds za Toyota.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom