Wakati Lisuu anamiminiwa mvua mbona ulichekeleaHuna akili we nyang'au
Mkurugenzi hajafa,yupo mahututiDah watu mna machungu kweli.
Anyway R.I.P Mkurugenzi
Sana mkuu na kitu nilikua sijui hizi Hilux vigo ni balaa sana barabarani kuna video nilona jamaa kakanyaga speed 200/hr na vigo inampita kama kasimama...chek hiyo videoHawa madereva wa serekali wanakimbia sana kwa kweli
Hiyo Hilux vigo ni hatari sana mkuu...chek video nimeweka hapo chiniDaaahhh ajali inaonekana mbaya sana.. Wapumzike kwa Amani walio fariki.
Poleni.Taarifa ya ajali Manyoni, Singida.
Jamani hii ajali mbaya nimeishuhudia nipo kwenye Nyehunge ya Mwanza kuja Morogoro mjini duuhh mbaya sana imehusisha fuso moja hivi nayo tairi za mbele zote zimechomoka ndio chanzo cha ajali hii.
=====
Mkurugenzi wa Tarime Mjini amepata Ajali mbaya sana maeneo ya Manyoni, Dereva na Afisa Maendeleo ya Jamii wamefariki papo hapo, Mkurugenzi na Afisa Mipango wapo Hospitali kwa matibabu.
Mkurugenzi hajafa Arifu.Dah watu mna machungu kweli.
Anyway R.I.P Mkurugenzi
Kama umechukia jinyongee kamasi...Hizi akiri za namna hii ndio upinzani wenyewe eti unafurahia mwenzako kufariki kuku wewe utaishi milele.
Hawa madereva wa serekali wanakimbia sana kwa kweli
Na wanaongoza kwa kutofuata sheria za barabarani ,Over take zisizo na mpango,kupita service road na mwendo utafikiri anawahisha magazeti mkoani.