Caroline Hans
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 723
- 386
MKUU NI VEMA UNGEWAFESI MANESI WENYEWE AU MANAGEMENT
Hana ujasiri wa kwenda kwa sababu kaandika uongo.
MKUU NI VEMA UNGEWAFESI MANESI WENYEWE AU MANAGEMENT
Na mm wangu alifia pale. Halafu nikulazimishe nakujua??Kwa nini unilazimishe!Mimi mgonjwa wangu aliponea Pale wewe ndo Extremely narrow minded na move yako.
Huyo muda wake wa kufa ulikua umefika mbona wangu alipatiwa huduma nzuri na hakufa acheni ku-generalizeNa mm wangu alifia pale. Halafu nikulazimishe nakujua??
Karma!Huyo muda wake wa kufa ulikua umefika mbona wangu hakufa achen ku-generalize
Mimi nilikua na mgonjwa pale alikua kalazwa wodini tena kahudumiwa vizuri sana na sasa anaendelea vyema nyumbani hii ni kutokana na huduma nzuri na madaktari walivyojitoa kuokoa uhai wa mgonjwa wetu No research no right to speak! Tumwogope Mungu
we mdada umesoma thread vizuri ebu rudia usome vizuriKuna watu wana macho hayaoni
Badala ya kupongeza kazi kubwa ya
Madokta wetu wazalendo tunajifanya vipofu.
we mdada umesoma thread vizuri ebu rudia usome vizuri
mtoa mada Hao madoctor amewasifu kuwa wapo vizuri na zaidi amewapongeza kwa kujitahidi kwa huduma nzuri
shida mpaka kaleta malalamiko hapa hiko kwa MANESI
mm nishashuudia hosptari ya BAGAMOYO docta kamtia kibao nesi kutokana kile kilichoonekana amemuhalibia status kwa fault zake za kijinga
hivyo MADOCTOR siku zote hawana shida kabisa na hujitahidigi kadri ya uwezo wao
kimbembe kipo kwa MANESI
ni hivyo kabisa ndo huwa wanaharibu STATUS za hosptari za serikali
Karma!
Achana nae, IQ sifuri.we mdada umesoma thread vizuri ebu rudia usome vizuri
mtoa mada Hao madoctor amewasifu kuwa wapo vizuri na zaidi amewapongeza kwa kujitahidi kwa huduma nzuri
shida mpaka kaleta malalamiko hapa hiko kwa MANESI
mm nishashuudia hosptari ya BAGAMOYO docta kamtia kibao nesi kutokana kile kilichoonekana amemuhalibia status kwa fault zake za kijinga
hivyo MADOCTOR siku zote hawana shida kabisa na hujitahidigi kadri ya uwezo wao
kimbembe kipo kwa MANESI
ni hivyo kabisa ndo huwa wanaharibu STATUS za hosptari za serikali
...kwa hiyo wewe umefanya research ndo unaongea wewe umeleta uzoefu wako...na yeye katoa uzoefu wake...kwa nini usiheshimu observation yakeMimi nilikua na mgonjwa pale alikua kalazwa wodini tena kahudumiwa vizuri sana na sasa anaendelea vyema nyumbani hii ni kutokana na huduma nzuri na madaktari walivyojitoa kuokoa uhai wa mgonjwa wetu No research no right to speak! Tumwogope Mungu
...kwa hiyo wewe umefanya research ndo unaongea wewe umeleta uzoefu wako...na yeye katoa uzoefu wake...kwa nini usiheshimu observation yake
Mimi nilikua na mgonjwa pale alikua kalazwa wodini tena kahudumiwa vizuri sana na sasa anaendelea vyema nyumbani hii ni kutokana na huduma nzuri na madaktari walivyojitoa kuokoa uhai wa mgonjwa wetu No research no right to speak! Tumwogope Mungu
We mpumbavu watu tumepoteza ndugu zetu pale,semea upande wako wa bahati siyo watu tuliokutana na madudu wakati wagonjwa wetu wamepokelewa vizuri na kitengo cha EMMERGENCY mpaka tuliona matumaini kabla ya kwenda motoni JKHI.Dada ile taasisi kwa huduma wako vizuri sana!
Kwanini unakataa mambo ambayo wengine wamekutananayo?Lazima tuelewe na hili pia kwamba sio lazima
Mgonjwa wako ukimpeleka apone inategemeana alipelekwa akiwa katika hali gani saa nyingine mnaenda kuhitimisha tu pia wengine wanachelewa sana mgonjwa akiwa hali mbaya sana! Kusema kwamba mgonjwa kalala siku 5 asipatiwe huduma yoyote ni uongo! Mimi mbona mgonjwa wangu alitibiwa na uwezo wetu ulikua wa kawaida maana pale kuna wagonjwa wa rufaa na wale wa msamaha wanaotibiwa bure kabisa
Pale siyo sehemu salama kabisa,mimi mgonjwa wangu alilazwa kwa siku tano na ni floor ya 3 kitanda tulilipa shiling 140,000/kwa siku.
Mbaya zaidi ni kuwa hatukuambiwa bei ya kitanda kwa siku,kwakuwa mgonjwa alihamishwa kutoka muhimbili.
Mpaka alipofariki ndiyo tukaambiwa bei,pia HAKUPATA DAWA YOYOTE,na niliongea na waliolala nae kwenye chumba hicho ambacho hata shuka zake zilikuwa zimepasuka na uniform zilizopauka nyeupe zenye mistari ya blue,wakaniambia wote wameandikiwa kufanaya kipimo kinaitwa ACG na hawakufanyiwa kwa zaidi ya siku nne,huyo mgonjwa alishindwa kupumua akaomba gesi wakawa wanamwambia wataleta mpaka akafa.
Kwanini unakataa mambo ambayo wengine wamekutananayo?
We mpumbavu watu tumepoteza ndugu zetu pale,semea upande wako wa bahati siyo watu tuliokutana na madudu wakati wagonjwa wetu wamepokelewa vizuri na kitengo cha EMMERGENCY mpaka tuliona matumaini kabla ya kwenda motoni JKHI.
Manesi wanashindana kutuonyesha vikalio vyao tu,tumepoteza ndugu hapo wewe kunguni.
Kwani wewe unadhani wagonjwa hawafanani siku za kukaa hospitali au siku za kufariki au siku za kutolewa au kuingia?usilazimishe watu wote wawe wamepata huduma kama uliyopata wewe.Naona unapotea mpaka akili inakuruka! Wewe makalio yanakuhusu nini jiheshimu acha tamaa!