Mkurugenzi wa RITA aliyeidhinisha bodi feki ya wadhamini ya Lipumba akamatwe haraka kabla hajakimbia nchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,653
218,142
Wakuu asalaam aleykhum , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja , Mahakama imeifuta bodi feki iliyoundwa na Msaliti Lipumba , sasa yatokanayo na hili ni kwamba RITA walisajili bodi feki ya wadhamini , kwa makusudi au kwa maelekezo kutoka juu huku wakijua kwamba hawana kinga yoyote ile .

Imekuwa ni desturi sasa hukumu kama hizi zinapotoka huwa tunaishia hapa na kumwachia Mungu tu , bali kwa hili la RITA twende mbele kidogo ili liwe fundisho kwa wengine . Chama cha Cuf kiliionya mapema sana RITA kuachana na njama za kusajili bodi feki ya Lipumba , Maalim Seif aliita vyombo vya habari kumuonya mkurugenzi wa RITA kuachana na mpango huo ambao ulilenga kuvunja katiba ya nchi ( Jf inayo Taarifa hii bila shaka ) , lakini Mkurugenzi huyo aliendelea na mpango wake huo kwa maelekezo ya maharamia , sasa wakati wa yeye kuanza kulimia meno umefika rasmi , Hakuna cha mswalie mtume

Zipo tetesi kwamba Mkurugenzi aliyehusika anapanga kukimbia nchi baada ya kubaini kwamba hana kinga yoyote kutokana na uharamia alioutenda , sasa ni wakati wa wahusika kuhakikisha anadakwa mapema kabla hajatoroka.

Naomba kuwasilisha
 
Imekuwa ni desturi sasa hukumu kama hizi zinapotoka huwa tunaishia hapa na kumwachia Mungu tu , bali kwa hili la RITA twende mbele kidogo ili liwe fundisho kwa wengine . Chama cha Cuf kiliionya maprma sana RITA kuachana na njama za kusajili bodi feki ya Lipumba , Maalim Seif aliita vyombo vya habari kumuonya mkurugenzi wa RITA kuachana na mpango huo ambao ulilenga kuvunja katiba ya nchi ( Jf inayo Taarifa hii bila shaka ) , lakini Mkurugenzi huyo aliendelea na mpango wake huo kwa maelekezo ya maharamia , sasa wakati wa yeye kuanza kulimia meno umefika rasmi , Hakuna cha mswalie mtume
Hi Tumbua tumbua bado yupo kweli?
 
Wakuu asalaam aleykhum , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja , Mahakama imeifuta bodi feki iliyoundwa na Msaliti Lipumba , sasa yatokanayo na hili ni kwamba RITA walisajili bodi feki ya wadhamini , kwa makusudi au kwa maelekezo kutoka juu huku wakijua kwamba hawana kinga yoyote ile .

Imekuwa ni desturi sasa hukumu kama hizi zinapotoka huwa tunaishia hapa na kumwachia Mungu tu , bali kwa hili la RITA twende mbele kidogo ili liwe fundisho kwa wengine . Chama cha Cuf kiliionya mapema sana RITA kuachana na njama za kusajili bodi feki ya Lipumba , Maalim Seif aliita vyombo vya habari kumuonya mkurugenzi wa RITA kuachana na mpango huo ambao ulilenga kuvunja katiba ya nchi ( Jf inayo Taarifa hii bila shaka ) , lakini Mkurugenzi huyo aliendelea na mpango wake huo kwa maelekezo ya maharamia , sasa wakati wa yeye kuanza kulimia meno umefika rasmi , Hakuna cha mswalie mtume

Zipo tetesi kwamba Mkurugenzi aliyehusika anapanga kukimbia nchi baada ya kubaini kwamba hana kinga yoyote kutokana na uharamia alioutenda , sasa ni wakati wa wahusika kuhakikisha anadakwa mapema kabla hajatoroka.

Naomba kuwasilisha

“Ziko tetesi..” kila andiko lako lina base kwenye tetesi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na jaji mtungi kutoa ruzuku kwa lipumba kavunja katiba Ville vile näe lazima asogezwe mbele

SWISSME
 
Upo sahihi Mkuu maana hili suala ni hatari sana maana kama unaweza kuidhinisha bodi ambayo ndiyo ina mamlaka juu ya taasisi ambayo inapata fedha za umma ina maana unahalalisha wizi wa fedha za umma kwa wezi, majambazi ambao hawabebi silaha sasa sijui ameidhinisha bodi feki ngapi?

Kwenye hili huyo mkurugenzi hapaswi kuachwa maana atakuwa kasababisha hasara kubwa kama hiyo bodi ilikuwa ikichukua ruzuku
 
Tuko tayari hata kukusanya pesa kwa ajili ya huduma za kisheria , dawa ya moto ni moto
 
Ninapowapendea ccm ndio hicho wanakutoa kwenye Mstari mnyoofu wanakutumia ukishashuka hazi wanakutupa katika dampo.

Huku wakina MSUKUMA wanang'aa kwao.

PROFESA ajitathimini.
Vinginevyo kama yupo katika kitengo basi kazi yake inampendeza.
 
Mwenzie Dr Slaa akaamua kujilia kimya kimya
 
Back
Top Bottom