Mkurugenzi wa Hospitali ya Bugando atimuliwa kazi...

raymg

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
842
214
kikao cha board ya hospitali ya rufaa Bugando kimeamua kumsimamisha kazi rasmi mkurugenzi wa hospitali hiyo Dr. Majinge.
sababu ni kufaukuza, kuwadharirisha, kuita police na kuwanyima chakula interns katika hospitali hiyo waliokuakwenye mgomo.
habari n kutoka ndan y kikao hicho.
 
Naona kama wanajichanganya sasa.Si alikuwa anatimiza matakwa ya wakubwa.Msimfanie hivo.Mwacheni aendelee kula kuku tafadhali.
 
aibu yao aibu yake...damu ya kamanda inawatafuna
 
Heee hata yeye mbabe wa ma interns ametoswa??kazi ipo mwaka huu!!
 
HAPANA.
Siamini hii sababu iliyotolewa hapa. Naona tusubiri habari kamili.
 
"ana ungo mkononi, kupepeta ngano yote!!! Yatatupwa makapi"
WITO;
watanzania wenzangu msikubali kutumiwa na ccm kufanya hujuma dhidi ya watanzania wenzenu kwani hatima yake inaweza kuwa mbaya, kwa maana mnaweza kutolewa kafara mkaziathiri familia zenu!!!
 
Jamaa hana maana siku nyingi tu, the decision is long overdue
 
uzushi huo,siyo kweli kabisa!nia yako ni kumchafua tu..kanisa katoliki linampongeza sana kwa uongozi wake bora na misimamo ya maana so hawawezi kurupuka namna hiyo.
 
habari hizi hazina ukweli mimi niko hapa bugando wala sijasikia hilo
 
sio lazima usikie hata kama upo bugando, ila fuatilia wewe uliyepo hap then utujuze habari sahihi na ya kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…