Mkurugenzi wa Hospitali ya Bugando atimuliwa kazi...

raymg

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
843
214
kikao cha board ya hospitali ya rufaa Bugando kimeamua kumsimamisha kazi rasmi mkurugenzi wa hospitali hiyo Dr. Majinge.
sababu ni kufaukuza, kuwadharirisha, kuita police na kuwanyima chakula interns katika hospitali hiyo waliokuakwenye mgomo.
habari n kutoka ndan y kikao hicho.
 
Naona kama wanajichanganya sasa.Si alikuwa anatimiza matakwa ya wakubwa.Msimfanie hivo.Mwacheni aendelee kula kuku tafadhali.
 
HAPANA.
Siamini hii sababu iliyotolewa hapa. Naona tusubiri habari kamili.
 
"ana ungo mkononi, kupepeta ngano yote!!! Yatatupwa makapi"
WITO;
watanzania wenzangu msikubali kutumiwa na ccm kufanya hujuma dhidi ya watanzania wenzenu kwani hatima yake inaweza kuwa mbaya, kwa maana mnaweza kutolewa kafara mkaziathiri familia zenu!!!
 
uzushi huo,siyo kweli kabisa!nia yako ni kumchafua tu..kanisa katoliki linampongeza sana kwa uongozi wake bora na misimamo ya maana so hawawezi kurupuka namna hiyo.
 
sio lazima usikie hata kama upo bugando, ila fuatilia wewe uliyepo hap then utujuze habari sahihi na ya kina
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom