heeee
kulikoni tena na huu mfululizo wa hizi kesi za kutakatisha maana wiki ya pili mfululizo tunazisikia
ila pongezi nusu kwa taasisi husika maana nadhani tunao watakatishaji wengi kwenye mfumo ila hawagusi
hivi ANDREW CHENGE hana kesi ya kutakatisha kweli
[HASHTAG]#HappyBirthdayToMe[/HASHTAG]
Iwakiwemo wakulu wastaafu!Bado wengi tu. Mpaka nchi iwe salama.
I second, I cannot wait for that fateful day,God is ablenasubiri siku nimuone jamaa wa home shopping centre/Gsm vinginevyo hizi zitabaki muvi tu!
Ikiwemo wewehuu mwaka huu watanyooka wengi
hahahhah ndio mkuu mi mda tu ilibaki hao mapapaIkiwemo wewe
Huyo ni mpigaji kma mdama ila sasa yuko teIla huyo atakubali,atahukumiwa fine mil 100 yataisha kama NDAMA MUTOTO YA
Kama anahusika atadakwa tu naona mliokula nae mmeanza ku vibrate daadekiHapo mwisho wa mchezo anatafutwa laigwanani
Kamuulize Mramba,Yona,Ndama mutoto ya Ng'ombe watakupa habariKushitaki ni rahisi sana, lakini kuwatia hatiani ni ngamia kupita tundu la Sindano. Je Serikali ipo vizuri na waendesha mashitaka kiasi cha kuwawezesha kuendesha kesi hizo kwa ufanisi. Isiwe kama PCCB, ipo vizuri kutoa takwimu za kesi walizofungua, lakini si takwimu za kesi walizoshinda.
Mfano kuachiwa kwa Kasusura ulikuwa ni uzembe wa waendesha mashitaka, hata kesi ya samaki wa Pombe ilikuwa ni uzembe tu, ushahidi ulikuwa vizuri ila kwa uzembe wakakosea taratibu. Kesi zote hizo wanaachiwa kwa technicality tu!!
Asente hilo nalo nenoheeee
kulikoni tena na huu mfululizo wa hizi kesi za kutakatisha maana wiki ya pili mfululizo tunazisikia
ila pongezi nusu kwa taasisi husika maana nadhani tunao watakatishaji wengi kwenye mfumo ila hawagusi
hivi ANDREW CHENGE hana kesi ya kutakatisha kweli
[HASHTAG]#HappyBirthdayToMe[/HASHTAG]
Hawa siku zao zipo karibu nadahani ndio hao mkulu aliwasema kuwa wamebadili majina kwa kukwepa kulipa kodi na baado mchezo wao wa kukwepa kodi wanaundeleza hata baada ya kubadili majinaUna uhakika naye ni mtakatishaji?