Mkurugenzi wa Golden Shark Mining Ltd kizimbani kwa kutapeli na kutakatisha zaidi ya tsh bilioni 4

Gereza la Keko sasa hivi linanukia marashi na mabaga ya watuhumiwa

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Ni kitendo cha kuingiza fedha haramu katika mfumo rasmi wa kifedha kama vile kuziingiza katika mifumo ya kibank ili zitambulike kuwa ni fedha zilizopatikana kwa njia halali.

Fedha haramu ni zile zinazopatikana kwa njia zisizo halali kama vile kupitia ujambazi, madwa ya kulevya, ufisadi n.k,

Mara nyingi utakatishaji unahusisha fedha millions of money ambazo mtu hawezi kuziweka bank moja kwa moja kwa kuhofia kufuatiliwa na mamlaka hisika hivyo hutumia mbinu mbalimbali kuzirasimisha ili zionekane ni fedha halali.

UTAKATISHAJI WA FEDHA HARAMU una athari kubwa katika mzunguko wa fedha wa nchi yoyote, na Mara nyingi fedha zinazokamatwa zikiwa stored zikisubiri kutakatishwa huchomwa moto kuhofia kuharibu mzunguko wa fedha nchini iwapo zikiruhusiwa kuingi mtaani.

Nadhani nimekujibu kwa uelewa wangu mdogo.
Ikithibitika umetakatisha fedha hukumu yake ni nn?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Ikithibitika umetakatisha fedha hukumu yake ni nn?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Duuh aisee hilo limekaa kisheria zaidi siwezi jua kwa undani, ila wengiwao huenda jela au kulipa faini kubwa au vyote kwa pamoja kutegemeana na structure ya kesi yenyewe.
 
Back
Top Bottom