Mmmmhhhh.....Code rahisi
Meko -betri- mawinguni
Jki -msoga
Hence proven
Mmmhhhh......Naunganisha dots na uzi fulani hivi ingawa ni kama stori.
Pia Ile ajali ya Dodoma ya Treni mkuu,alipambana sana.......mkuu achana na hawa watoto waliozaliwa 2005+utakuwa mtoto mdogo we jamaa .
Professor Sarungi ndiye pofessor wa kwanza bingwa wa mifupa Tanzania nzima .
Alikuwa hategemewi na MOI tu huyo alikiwa anategemewa Tanzania nzima ilikuwa ikitokea ajali mikoani alikiwa anakwenda kusaidia kama majeruhi wengi na wameumia vibaya .
Embu jaribu kumgoogle usome story zake kuna mwaka ilitokea ajali mbaya kibaha majeruhi waliumia sana wakalazwa tumbi yeye alikuwa waziri wa ulinzi , alitoka wizarani akaenda tumbi kuongeza nguvu jopo la madaktari
Professor Sarungi alishawahi kuwa mfanyakazi bora wa Taifa ( nafional best worker)
Eti unafananisha na mpuuzi kama kigwa. ambaye hajawahi hata kupractice udaktari
,pitia autobiographyy yake hapo chini
Anataka tufe abaki pekee yake huyu Sasa.......!Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Watanzania bhana....😂😂😂😂😂😂Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Kwani ulinzi Mkubwa ni Kuanzia walinzi wangapi ili tupate standard ya uliznzi mkubwa tunapoendelea na Kujadili hapa jukwaaniAcha ujinga wako!!kwani yeye ndiye daktari pekee aliyewahi kuwatibu marais?kuna madaktari wangapi walikuwa wanawatibu marais na bado hawajawahi kuwa na ulinzi mkubwa?!!ndio maana mdau amekutana nalo na kuja kuuliza, ili kujua kuna kitu gani cha utofauti zaidi, wewe hata hujui kitu unakuja tu, eti daktari anatibu marais ndio awe na ulinzi huo?!!
Not overated as such but just another professional, typical of an unsung hero!Jamaa ni overrated!! Na kwakuwa wana jf wanapenda mada kama hizi basi uzi utaenda pages za kutosha bila hata ushahidi wa picha
Itakuwa anahusika na 17/3/2021Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Anaweza akawa amehusika kwa kiasi kikubwaSawa!! Lakini iweje leo ndio awekewe ulinzi wote ule, mbona miaka yote ile haikuwa hivyo?!!
Nadhani hapa ilikuwa ni kipindi kile cha awamu ya kwanza ya Mh Mkapa ambapo yeye alikuwa Waziri wa Ulinzi. Mimi katika maisha yangu nawa-admire sana watu amabo wanakuwa ni Daktari wa binadmau na wakati huo huo ni PhD holder au ni professors. Hapa watu inabidi tukubali tu kuwa kuna vichwa Mungu alivipa ziada ya pekee. Kwanza kile kitendo tu cha kuwa mtu ni Daktari wa binadamu, hata kama ana degree moja tu!utakuwa mtoto mdogo we jamaa .