Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Jamii forum under attack again,

Tuombe Mungu hili jeshi la farao lishindwe na hila zake zote kwani JF ndio sehemu inayotukutanisha watanzania wote, pamoja na nchi jirani .
 
Hakuna jambo lisilokuwa na mwisho, najua mwisho utafika tu CCM will be out. Mbinu ulitumia kuwanyamazisha uliosema wanakiuka ndo mbinu itakayotumika ili kukuongoza wewe. Naamini kuna siku hii nchi itaongozwa na upinzani tu. So sheria zote kandamizi na zisizokandamizi waje waziendeleze tu at least for two years ili nao waje Kuexperience what's wrong was. Mungu ampe ujasiri, asiogope na we have to support our mkurugenzi wetu. Wanajaribu kumnyamazisha kila mtu anaejaribu kusema kile kibaya wanachofanya, wanatujengea hofu, wanatupa uoga wa kusema ukweli. HAPANA TUKATAEE KWA PAMOJA. Serikali isiyokosolewa ni serikali inayoongoza wafu. We're not a dead body, we're living human let we stand tall and strong for what's wrong. Wao ni binadamu like us they have ups and downs like anyone. Mwenyezi Mungu atupe nguvu wote kwa umoja tusimame zidi ya uonevu unaoendelea.
 
Bado watanzania wengi hawajaelewa hii nchi inavyoenda, chagua kukaa kimya au familia na watoto watabaki wanalia
Uoga ni kitu kibaya sana hasa kwa mtoto wa kiume. Madhara yake huwa nayafanisha na rushwa.
 
Ina maana hayo ni maagizo ya Rais au?
Acha kuwaza kitoto. Vyombo vya usalama vinapohitaji taarifa ya kiusalama toka ktk chanzo husika, basi chanzo hicho kinatakiwa kutoa ushirikiano kwa kila namna. Hilo ni suala la kisheria. Waulizeni hata walipo kwenye mitandao ya simu, Polisi wanapohitaji taarifa za mtu wanayemchunguza makampuni hutoa ushirikiano. Ni suala la kawaida. Acheni kuwaza kimihemko
 
Labda isiwe tz na africa ata ukimbilie kwenye ubalozi wa Vatican tutakufikia tu kwani izo balozi siziko ndani ya nchi zetu!
Kuvamia balozi ni kama vile umevamia nchi

Mfano nimeenda ubalozi wa USA na ukavamia ubalozi huo

Je utaweza kupigana na USA ww
 
JF ingeanza kuwapa majina ya viongozi wanaokuja kutukana huku na ID fake kabla ya raia.

Misingi ya forum ni usiri japo mods hao hao wameuza id zetu wengine. Lakini huku tunakokwenda sipo kabisa na hakuna mantiki ya JF kama contributors discretion is not guarantee.

Serikari aipondwi tu na wao wanapata vi tip humu humu vinavyowasaidia. Ukitaka kula lazima na wewe uliwe.

Free Max
 
Lakini melo hii ishu sijajua kwanini umeamua ikupotezee muda!!!!!

Hata mitandao ya simu huwa wanaachia taarifa binafsi kwa uchunguzi, ni swala kuachia tu.
 
I thought wangefanya jitihada kuhack hii jf na kutafuta wanachokitaka instead ya kumuwajibisha mmiliki.

Inanikumbusha kesi ya Apple na FBI kuhusu kuwapa backdoor ya IOS, mahakamani walishindwa FBI then they bypass it kupitia third person.

Kuna haja ya kuongeza wataalam wa ethical hacking katika kitengo chao. I can't believe imewashinda kuhack server.
Unadhan wana ubavu huo??
 
Back
Top Bottom