Msando huyu huyu aliyekuwa actMsando si yupooo
Utaweza kusimama na wanasheria nguli wa voda mahakamani
Duh...!.Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana...
Shida unakula line umekaa nayo kwa zaidi ya miaka 10 +... kubadili lazima iku costkwani hii voda mmefunga nayo ndoa?
kwenye kampuni zima yenye watu karibu700 pale HQ unahizi yeye peke yake ndie anaeamua leo bei ya kifurushi iwe vile au hivi..?, hapo TCRA hujawazungumzia, Nilichokiona kwenye uzi wako ni Dhamira yako ya kutaka kufungua Duka la nguo nothing elseAise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana...
kwenye kampuni zima yenye watu karibu700 pale HQ unahizi yeye peke yake ndie anaeamua leo bei ya kifurushi iwe vile au hivi..?, hapo TCRA hujawazungumzia, Nilichokiona kwenye uzi wako ni Dhamira yako ya kutaka kufungua Duka la nguo nothing else
Halafu vifurushi vya internet wamepandisha,heri nitumie tu Zantel
Msando huyu huyu aliyekuwa act
Halafu vifurushi vya internet wamepandisha,heri nitumie tu Zantel