Recipient
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 425
- 345
Usibishane na mtu ambaye analipwa kwa number of posts in the thread.Sio lazima kila kitu utetee Mkuu.. Haya mengine yanakugusa mpaka wewe mwenyewe na jamaa zako.. Hesabu ziko wazi, wewe unakazana kuzi-distort.. Kama 20% yako kwa miaka 30 imekutengenezea milioni 100, 25% ya milioni 100 ni kiasi gani..?
Hajui mshahara wala mifuko ya jamii haimhusu.