Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,026
- 144,382
Tatizo naona raisi aliyepo madarakani haaminiki lakini mlolongo wa mkurugenzi wa UT kuripoti bungeni utahatarisha usalama wa Taifa. After all wabunge wenyewe ndio hao akina Livingston Lusinde. Tumpunguzie madaraka raisi ndio suluhisho
Atajuaje ilhali yeye ni Msukule wa pale Kinondoni?Jamaa ----- kweli,ivi unafahamu jinsi wanavyofanya kazi zao?
Kani si imefikishwa bungeni na ndo maana hayo yametokea? Hivi kila taarifa wanayopata Idara ya Usalama wa Taifa ikipelekwa bungeni nchi itakalika kweli? Mie naamini kuwa hawa jamaa wana taarifa nyingi na nyeti. Maadili ya kazi yao ndo yanayosababisha kuwe na amani wakati wote vinginevyo hali ingekuwa mbaya sanaHivi taarifa kama ya Esrcrow ingefikishwa bungeni haya yangetokea?Taarifa hizi naamini zilifika Ikulu ila ndio hivyo tena.
Hivi taarifa kama za uhujumu uchumi zikifishwa na TISS bungeni kuna ubaya?
Dr Slaa kaharibu sana vijana wengi. Yawezekana ubongo wa Salary Slip umeathiriwa na kilevi cha gongo na bangiKaka Salary Slip, leo u ekunywa gongo nini? Je mawazo hayo ulipeleka kwenye tume ya Warioba au ulimfikishia mbunge wako ili akusemee bungeni?
Naona Salary Slip unataka kupolitisize shughuli za Idara ya Usalama wa Taifa. Vipi nafasi ya CAG, TAKUKURU na Polisi?
Kwani wewe shida yako ni TISS kupeleka hizo taarifa bungeni au taarifa kufika bungeni? Funguka Mkuu ueleweke vinginevyo yaonekana bado upo gizaniNajua kuna taarifa ambazo haziwezi kuwekwa public kupitia bunge.Lakini kwa mfano TISS wakagundu njama za uhujumu uchumi au huu ufisadi na kuzipeleka taarifa hizo bungeni kuna ubaya gani?
Kama taarifa zinapelekwa serikalini ni kwanini sasa hizi hujuma hazizuiliki?
Tatizo ni moja tu nalo ni kuumpa mtu mmoja madaraka ya karibu kila kitu!
Siamini kama kili kitu kinachofanywa na TISS kinapaswa kuwa siri hata bunge.