Taarifa zilizojitokeza ni kuwa Mkurugenzi Mkuu Bodi ya kahawa anaendelea kufukuza wafanyakazi bila ya kufuata sheria. Kuna mfanyakazi mwingine jana amemfukuza kazi kwa kutokuwa kazini huku anaumwa. Amefukuzwa kazi wakati uongozi mzima unajua kuwa ni mgonjwa na juzi juzi tu amefanyiwa upasuaji.
Katika kumfukuza huko kazi tunaambiwa hata taratibu za sheria ya kazi hazikufuatwa kwa vile hakupewa nafasi ya kujitetea, aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu wa kikao kilichomjadili ni mkuu wa Idara iliyomfungulia mashitaka na hakupewa hukumu( hearing Form) kutoa maoni yake.
Njama hizi ni za Mkurugenzi Mkuu Bw. Adolph Kumburu ambaye ameamua kuweka sheria kando kutimiza malengo yake ya kuendesha shirika la umma kidikiteta.
Watu wanajiuliza kiburi hiki anapewa na nani hadi haogopi serikali.